GANZI KWENYE MIGUU,MIKONO NA MAENEO MENGINE CHANZO NA MATIBABU

 Ganzi ni moja ya tatizo/ugonjwa unaowakumba watu wengine sana na ni tatizo ambalo linakera sana kwa sababu hata unapoenda hospitali Mara nyingi hawapati tatizo lolote


NINI HASWA CHANZO CHA TATIZO HILI


1:UMRI

Kawaida mtu anapokua umri umeenda, mwili mzima uzeeka pamoja na mfumo mzima wa damu, hii husababisha mishipa midogo midogo ya damu kufa, au kuziba hii husababisha chakula na hewa ya oksijeni kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali kama miguuni na vidoleni hali hii hupeleekea mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa safi hivyo ganzi hutokea


2:KISUKARI

Sukari inapokua nyingi kwenye mzunguuko wa damu hupelekea kuunguza mishipa ya damu halo hii husababisha mishipa kusinyaa ambalo hupelekea hewa ya oksijeni na chakula kutofika kwa ufadsaha maeneo ya mbali sana kama miguuni na mikononi hali hii husababisha mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa hivyo husababisha ganzi


3:DAMU NZITO

Damu inapokua nzito pia  hupelekea MTU kupata tatizo LA ganzi kwa ni husababisha kutofika kwa damu kwenye mishipa midogo midogo ya damu hii hupelekea ganzi pia


TIBA YA GANZI 


MICRO 2 CYCLE

-Hii ni dawa asili ya kupambana na tatizo hili bila madhara 

-Imetengenezwa na mitishamba mitatu yenye uwezo mkubwa sana wa kufungua mishipa midogo midogo ya damu ambayo inapoziba au inapokua ndio chazo cha tatizo hili

-Huzuia damu isivilie kwenye mishipa hivyo huondoa hatari ya kiharusi

-Huiuisha mishipa midogo midogo ya damu na kuruhusu damu kupiga


ZAMINOCAL

-Inafaa sana kuifanya damu Iwe nyepesi hivyo husaidia kuondoa tatizo la ganzi kama ikitumika pamoja na Micro 2 cycle 

Yunzi

Inasaidia wakina mama wenye, hedhi vimbe kwenye uzazi

Detoxilive

-Inasaidia kunyoma mafuta yaliyozidi kwenye mwili na kusababisha damu tutopita vizuri na kupelekea ganzi

Madhara ya ganzi

-Kupata strok(kupoza viungo)

_maumivu ya viungo

_kukosa uzingizi

-kupata magonjwa ya moyo Kama Presha aina zote

-Kupata ulemavu wa kuduma wa viungo

Nk.....

Piga simu

0684450076

Watsapo

0684450076


Comments

Popular posts from this blog

Madhra ya Punyeto Kwa Mwanaume

𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗨 π—­π—œπ—‘π—”π—­π—’ 𝗙𝗔𝗑𝗬𝗔 𝗠π—ͺπ—”π—‘π—”π—¨π— π—˜ π—”π—¦π—›π—œπ—‘π——π—ͺπ—˜ π—¦π—œπ— π—”π— π—œπ—¦π—›π—” π—©π—œπ—­π—¨π—₯π—œ π—¨π—¨π— π—˜

DALILI ZA HORMONE ZA KIUME ZILIZO ZIDI KWA MWANAMKE