KUPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME VYANZO VYA TATIZO NA MATIBABU
CHANZO, DALILI & TIBA
UTANGULIZI – LIJUE TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri, shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu. atizo hili huripotiwa kuwa katika wanaume watano (5) basi mmoja kati yao anatatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kuto kuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba.
Hili tatizo huwanyima watu raha kwa kuwa na mawazo, kuwa na matatizo katika mahusiano, watu wengi wenye tatizo hili wanahitaji kutumia dawa zisizo na madhara na kubadilisha mitindo ya maisha yao ili kuweza kurudisha hali zao na kuondoa tatizo, cha msingi ni kuzingatia yale utakayoelekezwa.
Kuna matatizo ya kutofanya mapenzi kikamilifu, nayo ni; kuwahi kumwanga mbegu za uzazi, Kuto kumwaga, kutokuwa na hamu ya tendo la ndoamaxresdefault (1)
CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na;
Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo
Kuvuta sigala na unywaji wa pombe
Uzito kupita kiasi na unene uliozidi
Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi
Kisukari
Kuwa na mawazo na wasiwasi
Matumizi ya madawa mbalimbali
Umri hasa wazee
Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili
Kuwa na tatizo la kibofu
Tabia za kujichua kwa mda mrefu
Kutopata usingizi kamili
Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa kama kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine
DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Dalili za kuonesha kuwa una tatizo la upungufu wa nguvu za kiume karibia zote zinahusiana na hali itakayo onekana katika tendo
DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI CHANGA
Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.
Nazo ndizo hizi zifuatazo⤵
1πKubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.
2πKupiga mingurumo tumboni.
3πKujaa gesi tumboni.
4πKuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.
5πKupata haja ngumu kama ya mbuzi.
6πKukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.
7πWakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.
8πUnaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.
9πNuru ya macho hupotea taratibu.
10πHutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.
11πHuvutwa makende au upande mmoja maumivu.
12πHupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.
13πMaumivu makali ya mgongo au kiuno
14πUume kusimyaa na kunywea kama wa mtoto
15 πMaumivu kati ya paja na kinena na hupelekea mguu kuwaka moto /kupata ganzi
16π Kupata maumivu katikati ya kifua mithili ya chembe ya moyo (hiatal hernia)
17π Tumbo kujaa na kuonekana kama una kitambi kumbe ni gas.
18π Ukila vitu vyevye sukari nying kama soda nk tumbo huunguruma sana na kujaa gas
19π Kuvimba kwa korodan ama korodan kupanda juu(moja ama zote kwa pamoja)
Wasiliana nami
0684450076
Watsapp
0684450076
Comments