UVIMBE KWENYE KIZAZI(FIBROIDS)

 FIBROIDS ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambapo uvimbe huu unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi au nje kwenye ukuta wa kizazi


Je utajuaje kama una fibroids?? Hebu angalia dalili zake


💥DALILI ZA FIBROIDS

👉Kutokwa damu nyingi kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi au wakati wa hedhi

👉Kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya(wengi wenu huwa mnakimbilia kwamba mna fangas)

👉Maumivu ya kiuno hasa wakati wa hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe

👉Tumbo kuuma sana chini ya kitovu

👉Hedhi zisizikua na mpangilio na damu hutoka nyingi mpk kupelekea wengine kupungukiwa damu na kutakiwa kuongezewa damu

👉Maumivu wakati wa tendi la ndoa(hii hupelekea achukie tendo la ndoa)

👉Kukosa kwa choo kikubwa au choo kuwa kigumu(constipation)

👉Maumivu wakati wa kukojoa

👉Kukojoa mara kwa mara

👉Ugumba(kuchelewa au kutokupata mtoto)

👉Mimba kutoka mara kwa mara

💥Kama wewe n muhanga wa uvimbe kwenye kizazi au kwenye ovary karibu

Piga

0684450076

Watsapp

0684450076


Comments

Popular posts from this blog

KUVIMBA KWA KORODANI NA MAUMIVU YA KORODANI SABABU NA TIBA

MIPASUKO/MICHANIKO KWENYE ULIMI NA TIBA YAKE

ONDOA MSONGO WA MAWAZO NA REJESHA KUMBUKUMBU