AFYA NA UZIMA SOMA HAPA

 AFYA NA UZIMA


 


 


Afya na Uzima tupo hapa kukupa ushauri wa namna bora ya kuishi, jinsi ya kujikinga na magonjwa yasiyo ambukiza ili kua mzima mwenye afya bora. Tunatoa huduma popote ulipo kwa njia ya simu kwa kupitia vituo vyetu vilivyopo Tanzania nzima. Tunazo bidhaa bora zitakazokupa afya na uzima


Tunapatikana Dar-es-salaam, Dodoma, Arusha, Mwanza, na mikoa yote.  kwa mawasiliano


  TUNATOA MATIBABU NA USHAURI KWA MIFUMO YOTE YA MWILI KWA KUSHUGHULIKIA CHANZO CHA TATIZO KWA KUTOA BIDHAA BORA KWA CHANGAMOTO ZIFUATAZO.


v  Mfumo wa viungo na mifupa


v  Mfumo wa uzazi


v  Kinga ya mwili


v  Mfumo wa damu


v  Kupunguza uzito


v  Mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.


v  Makuzi na afya bora kwa watoto


v  Bidhaa za afya kwa matumizi ya kila siku nyumbani


v  N.k


 


                                             BIDHAA ZA VIUNGO NA MIFUPA.


Ø ARTHROXTRA.


 



 


- Ni muhimu sana kwa Afya za viungo vya mwili, wafanya mazoezi, wanajeshi, wacheza mpira, wamama wote, wanaopenda wanaopenda kuvaa viatu virefu(high heels).


Kwa nini mifupa husagana na kusababisha maumivu ya viungo?


Kwenye maungio kati ya mfupa na mfupa  kuna  CARTILGE / MFUPA LAINI  unao zunguka mfupa ambayo kazi yake ni kuzuia mfupa usisagane na mfupa mwingine. Na hivyo Cartilage  inatengenezwa na kirutubisho kinachoitwa GLUCOSEAMINE kinachotengenezwa  na mwili.


Pia kati ya mfupa na mfupa  kuna ute ute  unaoitwa SYNOVIAL FLUID unao tengenezwa na kirutubisho kinachoitwa CHONDROTIN .


SYNOVIAL FLUID NA CARTILAGE kwa pamoja mifupa isisagane kwenye mjongeo ( MOVEMENT).


Mtu anapofikisha miaka 30 na kuendelea   GLUCOSEAMINE  inashindwa kutengenezwa ya kutosha , hivyo CARTILAGE  inaanza kupotea  na CHONDROTIN  inashindwa kutengenezwa  na kusababisha mifupa kwenye maungio  kuanza kusagana na kusababisha maumivu makali.


Ndio sababu  watu wazima wengi wana tatizo la maumivu ya viungo.


ARTHROXTRA   ni bidhaa ya asili  GLUCOSAMINE  kutoka kwenye mimea ambayo inakwenda kutengeneza CARTILAGE ( mfupa laini , gegedu)  pia INA CHONDROTIN asilia inayokwenda kutengeneza SYNOVIAL FLUID/ uteute.


-Hazina kemikali ni salama kwa matumizi ya wanadamu zimethibitishwa na TMDA na Kuoendekezwa Kutumika Kama Matibabu Ya Afya Ya Mifupa zina ubora wa Kimataifa.


Huondoa maumivu ya viungo, mifupa, mgongo ,nyonga, pingili, nk.


-Hutibu matatizo yote ya mifupa na maungio.


-Inarejesha cartlage iliyopata madhara katika kupona.


-Inaweka glucosamine kwenye mifupa.


-Inaondoa maumivu makali ya mifupa inayosagana.


-Inazua usagikaji wa mifupa.


-Inahamasisha uzalishaji wa seli mpya zinazotengeneza cartlage.


-Inaondoa maumivu makali ya mifupa na viungo.


-Inaponya ugonjwa sugu wa mifupa.


-Inasaidia urahisi wa mgeuko wa mifupa katika viungo vyake.


-Inasaidia watu waliopooza.


Ø GLUZO JOINT


 



 


Afya Ya Viungo Na Mifupa Ni Moja Ya Afya Ya Mfumo Muhimu sana, Sababu Mfumo Huu Ndio Mfumo unaobeba Mwili na Kuunganisha toka sehemu moja ya Mwili Na Sehemu nyingine, Imetengenezwa Kwa,


                                                                                                                                 VIUNGO


                                                                                                                             ○ Glucosamine


                                                                                                                             ○ Hydrochloride


 


Hivyo Basi Suala La Mnyumbuliko (Flexibility) wa Viungo ni Muhimu Sana, kwa kulitambua hilo pamoja na changamoto ya Mfumo wa Maisha na Ulaji, Imepelekea Changamoto kwa Watu wengi wanaokosa Virutubisho Muhimu hivyo kupitia Changamoto Ya Kuathiriwa kwa Mfumo wa Viungo na Mifupa.


 


                                                         ● WALENGWA(WATUMIAJI)


 


                                       ○ Wenye maumivu ya viungo na mifupa.


                                       ○ Waliosagika gegedu kwa Kupungukiwa na Uteute.


 


-Husaidia Mifupa na Seli zinazokua Isivyo Kawaida, (Degenerative Abnormal Growth Of Cell).


 -Bidhaa Hii Itakusaidia Kwa Changamoto Zote za Mfumo huu.


- Inaboresha gegedu (Cartilage metabolism) na kuzuia kusagana kwa mifupa.


-Kuboresha ufanisi na kuondoa maumivu makali kwenye viungo na Mifupa.


- Inaondoa madhara ya kusagika na kuchambuka kwa mifupa (Osteoarthritis).


-Ni nzuri kwa wenye maumivu ya kiuno, viungo na shingo.


 Husaidia Pingili zisisagike au kupishana.


- Hushauriwa kutumia mara kwa mara kwani huongeza ute ute(synovial fluid) kwenye maungio ya mifupa


-Huzuia kulika na kusagana kwa maungio kwa kuzalisha gegedu mpya (articulate cartilage)


-Huondoa tatizo la Arthritis


-Huongeza Glucose Amine na Chrondroitin kwenye maungio.


-Husaidia wenye Maumivu Makali ya mifupa na Viungo kutokana na wingi wa URIC ACID MWILINI.


NOTE: Husaidia kutibu matatizo mbali mbali ya MIFUPA NA VIUNGO bila UPASUAJI.


 


 


 


 


Ø ZIMINOCAL PLUS CAPSULES


 



 


Ndio bidhaa lishe pekee yenye madini ya zinki, magnesium, selenium na madini chokaa (calcium) katika kidonge kimoja, na baadhi ya faida zake ni;


- Kusaidia mifupa kuwa imara na vidonda kupona haraka, Hii hufanya kuwa nzuri kwa yeyote mwenye maumivu ya mifupa.


- Kusaidia mfumo wa fahamu, tatizo la kutoona usiku.


-Kwa mjamzito na ujauzito wake; Hii huchangia maendeleo na ukuaji fasaha wa mtoto aliyembeba na kurahisisha kutanuka kwa nyonga wakati wa kujifungua kwake.Kupunguza maumivu ya kiuno, mgongo na mifupa baada ya kujifungua.


-Inasaidia wanaume kutoa mbegu zenye rutuba na zenye wingi wa kutosha na pia humsaidia mwanamke katika upevushwaji na ukomazwaji wa yai lake.


Humsaidia Mama Anayenyonyesha kupata Maziwa Ya Kutosha.


Huwasaidia Wagonjwa wenye upungufu wa Madini Ya Zinc, Calcium nk, na Kuwasaidia zaidi wagonjwa wa Kisukari na Moyo.


 


BIDHAA ZA MFUMO WA UZAZI NA KUBORESHA TENDO LA NDOA


Ø PROSTATERELAX.


 



 


“kati ya wanaume 100 wenye miaka 40 na Zaidi , 48 wana tezi dume”


-Hukinga na kuondoa tezi dume bila upasuaji


-Huzuia kuvimba kwa tezi dume (prostate gland)


-Huzuia kansa ya tezi dume


-Husaidia na huongeza uzaliswaji wa majimaji yanayolinda mbegu za kiume (semen) zisiharibiwe


-Huboresha mfumo wa uzazi wa mwanaume na kumfanya kumudu tendo la ndoa kwa kiwango cha juu zaidi


-Huboresha na kuikinga figo isipate madhara


-Huzuia/hutibu matatizo ya mkojo kwa akina baba


              Dalili za tezi dume.


                -Kutomaliza mkojo; kukojoa kwa shida.


                 -Kushindwa kuzuia hamu ya kukojoa .


                  -Wakati wa usiku kukojoa mara kwa mara.


                  -Kupata maumivu makali wakati wa kukojoa.


                  -Kuishiwa nguvu za kiume.


                  - Mkojo kutoka bila nguvu.


 


Ø X POWER MAN PLUS CAPSULE


 



 


Boresha tendo la ndoa kwa kutumia  Xpower Man plus capsule bila kukuachia madhara yoyote kiafya.


-Ni ya asili 100 na imetengenezwa na mtishamba uliokua unatumika miaka mingi uitwao FRESH MACCA, pamoja na EPIDEMII ambazo zinauwezo mkubwa sana wa kuboresha mfumo wa uzazi wa mwanaume yeyote anaejidhamini.


Ni kirutubisho maalumu kwa wenye Changamoto Ya Nguvu za Kiume, Huwasaidia Sana Wanaume Warioathiriwa na Kujichua (Punyeto), Kisukari, Pressure, na kuwa kwenye changamoto ya Upungufu Wa Nguvu Za Kiume.


 Kirutubisho  hiki hufanya kazi zifuatazo:


-Huongeza Hamu Na Uwezo Wa Kufanya Tendo La Ndoa


-Hufungua Mirija Midogomidogo Ya kibofu Kwenye Uume Ambayo Hufa Kwa Ajiri Ya Umri Na Kisukari/Presha


-Huondoa Uchovu.


-Huongeza Wingi Wa Afya Wa Mbegu Za Kiume.


-Huondoa Tatizo La Maumivu Uume Ukiwa Umesimama.


-Humfanya Mwanaume Akae Muda Mrefu Kwenye Tendo.


-Huongeza Kinga Kwenye Via Vya Uzazi.


-Humfanya Mwanaume Arudie Tendo Bila Kuchoka Na Kwenye Ubora Wa Hali Ya Juu.


-Huondoa Tatizo La Uume Kusimama Ukiwa Legelege na Kusimama Kama Msumali.


-Huondoa Tatizo La Uume Kurudi Ndani Na Kuwa Kama Wa Mtoto


-Huondoa Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za kiume Na Ugumba Kwa Wanaume.


 


Ø X POWER MAN COFFEE


 



 


- Boresha tendo la ndoa kwa kutumia  Xpower Man coffee bila kukuachia madhara yoyote kiafya, kwa sababu ni kahawa maalumu iliyoandaliwa kwa ajili ya matibabu ya mfumo wa uzazi wa mwanaume na kuboresha uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa viwango vya juu Zaidi.


-Hurejesha hamu ya kuendelea na tendo la ndoa baada ya mshindo wa kwanza bila kuchoka.


-Huongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa mwanaume


-hufungua mishipa midogo ya kwenye uume hivyo humfanya mwanaume kukaaa mda mrefu kwenye tendo na kumridhisha mwenza wake


-Huondoa uchovu, maumivu ya mgongo ,msongo wa mawazo na humfanya mwanaume awe katika ubora wa hali ya juu wakati wa tendo la ndoa


-Huongeza uwezo wa uzalishwaji wa shahawa na huongeza mbegu za kiume na uwezo wa mbegu za kiume na uwezo wa mbegu kuishi muda mrefu.


 


 


                         BIDHAA ZA KUONGEZA KINGA YA MWILI


 


Ø PURE AND BROKEN GANODERMA SPORES.



-Imevunjwavunjwa kwa 100%


-Inasaidia kudhibiti kolestro(lehamu)


-Inaboresha kinga ya mwili na kuongeza hamu ya chakula


-Inaboresha afya ya ini


-Inaondoa vimbe na ni nzuri kwa fbroids(mayomal)


-Inaboresha mzunguko wa damu kwenye mirija ya damu


-Inapunguza kasi ya kusambaa kwa saratani


-Inarekebishakiwango cha sukari mwilini na kutibu kongosho


-Inasaidia kuondoa hali ya kufa kwa seli za ngozi


-Inaondoa sumu mwilini


-Inasaidia kuongeza ufanisi katika kazi za kimetaboliki mwilini


-Inasaidia kuboresha afya uzazi (wanaume na wanawake).


-Inasaidia kuondoa matatizo ya uchovu uliopitiliza na kukosa usingizi.


-Inaboresha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.


-Inasaidia katika mfumo wa hewa na kusaidia usafirishaji wa hewa safi mwilini


-Inasaidia kutibu vidonda vya kwenye ngozi kwa haraka, vidonda vitokanavyo na sukari, vidonda vya kwenye mdomo.


 


 


Ø REFINED YUNZHI ESSENCE


 



 


Nani anaweza kutumia Refined Yunzhi Essence.


● Wenye kinga ndogo za mwili.


● Wanaofanyiwa matibabu ya mionzi (chemotherapy).


● Waliougua Mda mrefu.


● Wagonjwa wa saratani.


● Wenye matatizo ya homoni.


    Faida za kutumia bidhaa za Refinedyunzhi essence


- Husaidia Kuongeza kinga za Mwili hivyo Inaodoa Hari ya kuugua kutokana na kinga ndogo za mwili.


-Huwasaidia Sana wenye (P.I.D), Changamoto ya Maambukizi Kwenye Njia Ya Uzazi.


- Inaongeza ufanisi wa Ini na mapafu kufanya Kazi ipasavyo.


- Inapunguza madhara ya mionzi (chemotherapy).


- Inaboresha Nguvu na Afya ya Mwili.


- Inaongeza hamu ya kula.


- Inadumisha Afya ya Mwili na Akili.


- Inarudisha na kudimisha kinga za mwili kwa waliougua mda mrefu.


-Ina Polysaccharide K (PSK) and Polysaccharide Peptide (PSP) ambazo husaidia kuondoa seli zenye vimelea vya saratani na kuzuia visisambae mwilini.


- Inasawazisha homoni mwilini na hivyo kuwasaidia wenye mvurugiko wa homoni, (Hormonal Imbalance).


- Inapunguza Maumivu ya Mwili.


- Inaboresha Muonekano wa Ngozi yako.


- Hutuliza homa ya typhoid.


   DALILI ZA HORMONAL IMBALANCE KWA WANAWAKE


--Kukosa hedhi kabisa


--kutoka hedhi Zaidi ya siku 7 na chini ya siku 3


--kupata hedhi mara mbili kwa mwezi


--Kutoka hedhi nyingi sana au mabonge ya damu


--kuumia chini ya kitovu au kupata hedhi inayouma sana.


 


 


 


Ø 4 IN 1 SERIES – MILKY FLAVOUR


 


REISHI COFFEE



 


Kahawa nzuri sana  isiyokua na CAFEINE kutoka Kampuni ya BFSUMA


-  Inasaidia kuinua kinga ya mwili.


- Inafanya mtu kujisikia vizuri na kuweza kufanya kazi kwa nguvu.


-  Inapunguza mhemko na hivyo kuwezesha kufikiri vizuri.


-  Inaleta usingizi mzuri.


-  Inapunguza kiwango cha uric acid mwilini; inasaidia kupunguza cholesterol.


-  Inazuia maambukizi ya virusi kwenye ini.


-  Ni nzuri kwa wenye tatizo la figo na ini.


-  Inaimarisha mfumo wa umeng'enyaji chakula.


-  Inaimarisha mishipa ya moyo.


-  Inaboresha utengenezwaji wa rojo katika mifupa (bone marrow).


-  Inasaidia mtu mwenye tatizo la uzalishwaji wa chembe nyekundu za damu .


Ifanye asubuhi yako kuwa poa Sana kwakutumia kahawa ya asili yenye uwezo kufanya Kinga yako yamwili kuwa juu zaidi.


 


      GINSENG COFFEE


 



 


- zinaufanya mwili uwe na nguvu masaa yote


- Zinaufanya mwili uhimili mabadiliko mbalimbali ya mazingira kama hali ya mawingu, joto n.k.


- Zinasaidia mfumo wa upumuaji, mfumo wa mzunguko wa damu na kuzuia vimbe mbalimbali.


- Inasaidia moyo na mapafu kufanya kazi vizuri


- Inasaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume


- Inasaidia kupunguza uzito


- Inaweka sawa mood na kuondoa stress


 


     CORDYCEPS COFFEE


 



 


- Inatoa sumu mwilini


- Zinachangia kupata usingizi kwa wale wenye shida ya usingizi.


- Inasaidia utendaji kazi wa mfumo wa upumuaji


- Inasaidia wenye matatizo yote ya afya


- Ni nzuri sana kwa mwenye matatizo.ya kuhema kama asthma nk


ni vema kzingatia afya zetu kwa kutumia bidhaa za asili zisizo na kemikali...


Nimimi mwenye kujali afya yako..


 


                    BIDHAA ZA MFUMO WA DAMU


Ø  PRESSURE FREE TEA


“Zaidi ya watu millioni 8 hufa kwa ajili ya shinikizo la damu (pressure)”


-Huzuia na kukinga matatizo ya moyo kama vile moyo kupanuka , kujaa maji, n.k


-Huzuia na kuktibu shinikizo la damu (blood pressure)


-Huboresha mzunguko wa damu katika mishipa ya damu


-Hufanya moyo kusukuma damu vizuri.


 


 


 


Ø  GYM EASE


Gymse  tea ni majani ya chai ya asili kutoka marekani, yana uwezo wa kuyeyusha mafuta ya Ziada na yenye madhara mwilini na kutoruhusu mafuta hayo kuhifadhiwa kwa wingi mwilini. Ina vitamin B1, C, kwa ajili ya kusaidia kuyeyusha mafuta yaliyozidi mwilini na kupunguza unene na kukuongezea kinga asilia ya mwilini maridhawa.


                   FAIDA ZA GYMEASE TEA


-Inasaidia kusawazisha sukari mwilini, kuvunja vunja na kuthibiti kiwango cha sukari kinachovyozwa kwenye damu na kuvunja vunja mafuta yaliozidi na kubadilisha kuwa nishati


-Inasaidia kupunguza mafuta ya tumbo


-Ni nzuri kwa watu wanaotaka kupunguza uzito


-Inaboresha utokaji wa insulin, na kongosho kuweza kuzalisha insulin.


                    VIAMBATA: Gymnema, Camellia sinensis


ANAEWEZA KUTUMIA GYMEASE TEA? Wenye kisukari na wanaopenda kupunguza sukari.; wanaopenda kurekebisha umbo la mwili (minyama uzembe na kitambi); watu wanaotaka kuondosha sumu kwenye mfumo wa damu.


Ø  Micro₂ Cycle tablets


“Zaidi ya watu millioni 8 hufa kwa kisukari kila mwaka”


-Huondoa ganzi iliyokithili ya mikononi na miguuni.


-Hufungua mishipa midogo ya damu na huondoa cholesterol.


-Huzuia kiharusi / stroke


-Huondoa tatizo la miguu kuwa moto


-Husaidia damu na oxygen kufika kwenye mishipa midogo midogo


 


 


Ø  CEREBRAIN TABLETS.


-Huongeza msukumo wa damu kuingia kwenye ubongo


-Huzuia kuchoka sana, kuuma kichwa, kupoteza kumbukumbu na ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu kwa wazee Aizheimer’s disease


-Huifanya mishipa ya damu kwenye moyo itulie, hivyo huzuia magonjwa ya moyo


-Huondoa tatizo la masikio kupiga kelele na matatizo ya masikio


-Huzuia kufa kwa seli za kwenye ubongo na kufa kwa mishipa midogo midogo ya damu


-Humsaidia sana mtu anaechoka bila sababu, wanafunzi, watu wanaokaa kwenye kompyuta na wanaotumia akili na kuwaza sana na watu wa taaluma mbalimbali


 


                     BIDHAA ZA MFUMO WA MMENG’ENYO WA CHAKULA


Ø  CONSTIRELAX


-Ni bidhaa ambayo hutibu magonjwa ya mfumo mzima wa mmeng’enyo wa chakula kama;


-kupata choo kigumu


-kupata choo chenye damu


-kutoa vijinyama kwenye haja kubwa (bawasili)


-kupoteza uwezo wa kupata hisia ya kwenda choo


-Huondoa mawe kwenye figo na kusafisha appendex


-Chembe ya moyo


-Kupata gesi tumboni


 


 


 


Ø  NOVEL-DEPILE CAPSULES


-Hukinga na kuondoa tatizo la BAWASIRI/MGOLO (HEMORRHOID) bila upasuaji


Bawasiri / mgolo ni nini? Bawasili ni nini? Ni vinyama vinavyoota sehemu ya haja kubwa


-Haijalishi iwe ya ndani au ya nje Novel Depile huondoa tatizo hili la bawasiri bila upasuaji


-Husaidia ufanyaji kazi wa mishipa ya kapilary (mishipa midogo midogo)


 


 


Ø  PROBIO 3


-Inasaidia kuondoa vimawe katika figo (kidney stone)


-Humsaidia mgojwa mwenye kansa ya tumbo na tumbo sababu ina bacteria wazuri wengi ndani yake


-Inapigana na bacteria wanaosababisha vidonda vya tumbo ni nzuri sana kwa kuondoa sumu mwilini na kuongeza bacteria walinzi tumboni


-Hii ni antibiotic ya asili inayopendekezwa kwa watoto


-Inaondoa usugu wa mwili wa kutokubali antibiotics


-Inakuza afya ya uke na kupigana na fangas (candida) wanaosumbua wanawake wengi.


 


Ø  ANTIDIARR PILLS


-Inaondoa shida ya kujaa gesi tumboni na kuuma


-Inamsaidia mtu aliyepatwa na kipindupindu


-Inamsaidia mtu aliekula chakula kibaya au chenye sumu hasa kwa wale waliopo safarini


-Inasaidia kuua bacteria wabaya walioingia tumboni


-Inamaliza tatizo la kuharisha na kutapika kwa haraka sana


BIDHAA ZA KUPUNGUZA UZITO


Ø  VEGGIE VIGGIE


*IJUE JUICE YA MBOGA MBOGA NA MATUNDA*


Juice ya mboga mboga au  veggietables juice kwa jina maarufu ni *Veggie Veggie* yaani *Mboga Mboga*


Veggie Veggie ni juice ya iliyotengenezwa kwa kwa aina 120 ya mboga mboga na Matunda.


*FAIDA YA JUICE YA VEGGIE VEGGIE (MBOGA MBOGA)*


-Huondoa Sumu Mwilini


-Huimarisha kinga za mwili


-Inatengeneza Utumbo ulioharika na kuondoa Mafuta yasiyo hitajika tumboni.


-Inaondoa Matatizo yote ya tumboni kama vile Gasi, maumivu tumboni na kupata choo kigumu.


-Inapunguza Mafuta ya rehemu (Cholesterol) mwilini


-Inasaidia Sukari kuwa katika level yake.


-Inasafisha tumbo na kuwa safi.


-Inaondoa hamu ya kula kula sana na kuzuia kunenepa hovyo.


*VEGGIE VEGGIE JUICE INA RADHA NZURI NA INAFANYA KAZI KWA HARAKA SANA*


*KUNYWA JUICE YA MBOGA MBOGA AU VEGGIE VEGGIE UWE NA MWILI WENYE NGUVU*


 


             BIDHAA KWA AFYA NZURI KWA WATOTO


Ø  DR.COW


-Inampa mtoto madini yote muhimu


-Inampa mtoto hamu ya kula


-Nguvu ya kupambana na magonjwa


-Inampa mtoto virutubisho muhimu


-Inampa mtoto uchangamfu.


 


 


                       BIDHAA ZA USAFI BINAFSI


Ø  DR. Ts – DAKTARI WA MENO


“Zaidi ya watu billion 9 hupata maradhi ya mwili kutokana na upungufu wa kinga mwilini”


-Huoua vijidudu vinavyotoboa meno na kuondoa maumivu ya meno


-Husafisha meno, Hutoa unjano, ukungu na uchafu sugu uliogandamana hasa unaotokana na sigara


-Hukinga maradhi yote ya kinywa na harufu mbaya mdomoni


-Huondoa tatizo la kutokwa na damu kwenye fizi na kujaa kwa mate mdomoni mara kwa mara.


 


Ø  ANATIC SOAP / OLIVE OIL REPAIR SOAP


-Hutibu magonjwa yote ya ngozi ikiwemo


-kuondoa chunusi na madoa


-Huondoa mapunye


-Kuondoa weusi makwapani, mapajani n.k


-Kuondoa mba na miwasho


-Kufanya ngozi yako kuwa laini, nyororo , yenye afya na ya kuvutia.


 


 


Ø  FEMICARE CLEANSER.


-Hutibu na kuondoa fangasi na U.T.I sugu


-Huondoa harufu mbaya ukeni


-Huondoa na hukinga utokwaji wa maji machafu ukeni


-Huondoa na hukinga kupata miwasho ukeni


-Huzuia na huua bacteria wabaya ukeni


    Wanaosababisha matatizo kwa akina mama kama staphylococcus aureus, ascherichia coil, pseudomonas aeruginosa na candida albicans


-Huufanya uke kuwa msafi na mkavu wakati wote.


piga simu


0684450076


Comments

Popular posts from this blog

Madhra ya Punyeto Kwa Mwanaume

𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗨 𝗭𝗜𝗡𝗔𝗭𝗢 𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗨𝗠𝗘 𝗔𝗦𝗛𝗜𝗡𝗗𝗪𝗘 𝗦𝗜𝗠𝗔𝗠𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗩𝗜𝗭𝗨𝗥𝗜 𝗨𝗨𝗠𝗘

DALILI ZA HORMONE ZA KIUME ZILIZO ZIDI KWA MWANAMKE