TATIZO LA KUWAI KUFIKA KILELENI NA MATIBABU YAKE

 TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELENI MAPEMA

 (Pre mature ejaculation )


Pre mature ejaculation ni nini?


Hii ni hali ambayo mwanaume anatoa mbegu mapema sana kipindi cha tendo la ndoa na mara nyingi huambatana na kushindwa kumridhisha mke  wake.


Tatizo hili limekua likiwapata wanaume wengi na kujisikia aibu mbele za wenzi wao pale wanaposhindwa kuendelea kabisa baada ya hali hii kutokea.

Kimsingi mwanaume anatakiwa achukue dakika nane mpaka kumi na tano kabla ya kutoa mbegu za kwanza lakini watafiti wanasema tatizo hili hugundukiwa mtu anapotoa mbegu ndani ya dakika moja au kabla ya dakika moja.


Tatizo hili huweza kutokea mara tu baada ya kubalehe,{primary pre mature ejaculation} 


Muda mrefu baada ya kubalehe{secondary PE} au kutokana na aina ya mwanamke uliompata.{situational PE}


Chanzo ni nini?

Tatizo hili halina sababu za kitaalamu zilizofanyiwa utafiti zikakakubalika ila wanasayansi wanaamini sababu zifuatazo zinaweza kua chanzo kikuu cha tatizo hilo.


✔️Kupiga punyeto au kujichua;

Mara nyingi watu wanaopiga punyeto hua wanafanya haraka kwa kujificha ili wasikutwe na mtu. tabia ile ya kulazimisha mbegu zitoke haraka huweza kuleta tatizo hili.


✔️Kukaa muda mrefu bila kushiriki tendo la ndoa;

Kukaa muda mrefu sana bila kushiriki tendo la ndoa husababisha mkusanyiko mkubwa wa mbegu za kiume ambazo zinaleta msisimko mkubwa na ukichelewa sana kushiriki tendo la ndoa zitatoka kwenye ndoto nyevu. Kawaida mwanaume anatakiwa ashiriki tendo angalau mara nne kwa wiki.


✔️Kuwa na wasiwasi wakati wa tendo la ndoa;

Mtu akiwa na historia ya kupata hali hii kabla, huwa hajiamini na kuwa na wasiwasi kwamba litatokea tena na matokeo yake hulipata kweli.


✔️Madhara ya dawa zinazofanya kazi kwenye mishipa ya fahamu;

Baadhi ya dawa za usingizi, mawazo na zingine zinazofanya kazi kwenye mishipa ya fahamu huleta tatizo hili mfano amitriptyline.


✔️Kurithi;

Baadhi ya koo au familia fulani hurithi vimelea vya kuwa na ugonjwa huu kwa vizazi mbalimbali vya familia husika.


✔️Magonjwa ya mfumo wa uzazi wa mwanaume mfano prostatitis.


Diagnosis{ kuutambua ugonjwa]

Mwanaume yeyote ambaye anatoa mbegu chini ya dakika moja au mbili ni muhanga wa hili tatizo na anatakiwa apewe matibabu.


Matibabu

Matibabu ya ugonjwa huu yamegawanyika sehemu kuu mbili kulingana na ukali wa tatizo husika.


Non pharmacological treatment{matibabu yasiyo hitaji dawa}: Matibabu haya hupewa watu ambao wanahimili mpaka dakika tatu bila kutoa mbegu.


Pharmacological treatment{matibabu yanayohusu dawa}: Matibabu haya hupewa watu ambao hutoa mbegu ndani ya dakika moja baada ya kuanza kushiriki tendo la ndoa, watu hawa hushauriwa kutumia tiba sahihi za m'badala za 

Dr -Thabith kutokomeza tatizo


Jitibie ili uheshimike na mwezio ili mwenzio nae aridhike! Sio unapiga goli moja chali umegeukia ukutani.

piga

0684450076

Kupata suruhisho


Comments

Popular posts from this blog

Madhra ya Punyeto Kwa Mwanaume

𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗨 π—­π—œπ—‘π—”π—­π—’ 𝗙𝗔𝗑𝗬𝗔 𝗠π—ͺπ—”π—‘π—”π—¨π— π—˜ π—”π—¦π—›π—œπ—‘π——π—ͺπ—˜ π—¦π—œπ— π—”π— π—œπ—¦π—›π—” π—©π—œπ—­π—¨π—₯π—œ π—¨π—¨π— π—˜

DALILI ZA HORMONE ZA KIUME ZILIZO ZIDI KWA MWANAMKE