𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗨 𝗭𝗜𝗡𝗔𝗭𝗢 𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗨𝗠𝗘 𝗔𝗦𝗛𝗜𝗡𝗗𝗪𝗘 𝗦𝗜𝗠𝗔𝗠𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗩𝗜𝗭𝗨𝗥𝗜 𝗨𝗨𝗠𝗘

 𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗨 𝗭𝗜𝗡𝗔𝗭𝗢 𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗨𝗠𝗘 𝗔𝗦𝗛𝗜𝗡𝗗𝗪𝗘 𝗦𝗜𝗠𝗔𝗠𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗩𝗜𝗭𝗨𝗥𝗜 𝗨𝗨𝗠𝗘 𝗪𝗔𝗞𝗘 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗟𝗘𝗚𝗘 𝗟𝗘𝗚𝗘 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗜𝗡𝗗𝗪𝗔 𝗥𝗨𝗗𝗜𝗔 𝗧𝗘𝗡𝗗𝗢 𝗡𝗔 𝗨𝗦𝗛𝗔𝗨𝗥𝗜 𝗧𝗜𝗕𝗔.


Hisia za tendo la ndoa kwa mwanaume ni mchakato tatanishi unaohusisha ubongo, homoni, hisia, mishipa ya fahamu, misuli na mishipa ya damu. Hali ya uume kushindwa kudindisha inaweza kutokana na matatizo yanayokuwa katika sehemu hizo nilizozitaja. 


    Vile vile, msongo wa mawazo na magonjwa ya akili yanaweza kusababisha hali ya uume kushindwa kudinda au kusimama


 Wakati mwingine mchanganyiko wa matatizo ya mwili na akili husababisha uume kuishiwa nguvu. Kwa mfano, hali ndogo ya mwili ambayo inayopunguza hamu ya tendo la ndoa inaweza kusababisha mashaka juu ya kurekebisha afya ya uume wako kuweza kudindisha.


°°Matatizo Ya Mwili Yanayosababisha Uume Kushindwa Kudindisha:


Katika visa vingi mbalimbali, kupungukiwa nguvu za kiume husababishwa na kitu cha kimwili.


𝕍𝕀𝕊𝔸𝔹𝔸𝔹𝕀𝕊ℍ𝕀 𝕍𝕐𝔸 𝕂𝔸𝕎𝔸𝕀𝔻𝔸 ℕ𝕀 ℙ𝔸𝕄𝕆𝕁𝔸 ℕ𝔸

👇🏼


➡️Ugonjwa wa moyo

➡️Damu kuganda kwenye mishipa ya damu

➡️Mafuta kujaa kwenye mishipa ya damu

▶️Shinikizo la juu la damu

➡️Kisukari

▶️Uzito kuwa mkubwa au unene

➡️Kukosa usingizi

➡️Uvutaji sigara au tumbaku

➡️Utumiaji wa madawa ya kulevya

➡️Kupungukiwa na homoni ya testosterone

➡️Mambo Ya Kisaikolojia Yanaweza Kusababisha Uume Kushindwa Kusimama


Ubongo una jukumu muhimu katika kuchochea mfululizo wa matukio ya kimaumbile ambayo yanasababisha uume kushindwa kudindisha, ukianza 


▶️Msongo wa mawazo

▶️Mashaka

▶️Matatizo ya mahusiano katika ndoa kutokana na msongo wa mawazo

▶️Kutokuwa na mawasiliano mazuri katika ndoa


𝕁𝔼? ℕ𝕀𝕐𝔸ℙ𝕀 𝕄𝔸𝔻ℍ𝔸ℝ𝔸 𝕐𝔸 𝕂𝕌𝕊ℍ𝕀ℕ𝔻𝕎𝔸 𝕊𝕀𝕄𝔸𝕄𝕀𝕊ℍ𝔸 𝕌𝕌𝕄𝔼 𝕍𝕀ℤ𝕌ℝ𝕀


Madhara yanayotokana na uume kupungukiwa nguvu au  kushindwa kudindisha, ni pamoja na;


↪️Kutokumridhisha mwenzi wako wakati wa tendo la ndoa

↪️Msongo wa mawazo au mashaka

↪️Kuaibika

↪️Matatizo/Vurugu katika ndoa

▶️Ndoa kuvunjika

▶️Kushindwa kumpa mwanamke ujauzito

▶️Migogoro isiyoisha


 


𝗨𝗦𝗛𝗔𝗨𝗥𝗜 𝗧𝗜𝗕𝗔

Ujijengee wezo wa kufunga magoli bila stress

👇🏼

+255684450076


𝘄𝗮.𝗺𝗲/255684450076


Comments

Popular posts from this blog

MIPASUKO/MICHANIKO KWENYE ULIMI NA TIBA YAKE

KUVIMBA KWA KORODANI NA MAUMIVU YA KORODANI SABABU NA TIBA

ONDOA MSONGO WA MAWAZO NA REJESHA KUMBUKUMBU