MIPASUKO/MICHANIKO KWENYE ULIMI NA TIBA YAKE

 TATIZO LA MIPASUKO KATIKA ULIMI


πŸ“š Ulimi wa mtu kwa

mipasuko tiba piga 0684450076

kawaida hautakiwi kuwa na mipasuko ya aina yoyote . 

Sasa hawa watu wenye ulimi uliopasuka huwa hawana maumivu , isipokua tu labda kama kuna chakula kimekwama kwenye hiyo mipasuko ndio muhusika atahisi maumivu


πŸ“š Mipasuko hii huweza kuwa iliyochimbika sana au kiasi tu.

Wazee ndio hupatwa sana na hii mipasuko ya ulimi , japo yeyote yule anaweza kuwa na ulimi wa hivi.

Wanaume ndio huwa zaidi na tatizo hili kuliko wanawake


πŸ“€ NINI HUSABABISHA HALI HII ?


Hadi sasa , wataalamu hawajui ni nini hupelekea hali hii ya mipasuko kwenye ulimi , japo ina amini kwamba watu wenye undugu (genetics) huweza kuwa na tatizo hili na wengine wasiwe nalo . mfano katika familia , unaweza kuta mzazi ana tatizo hili na watoto pia

.

Mfano : Kuna tafiti ilifanyika na ikabaini kwamba watu wa South Africa ni 0.6% tu ya watu wote ndio wana tatizo hili la mipasuko kwenye ulimi , lakini Katika Taifa la Israel 30.6% ya watu wote ndio wana hii hali. Sasa unaweza ona kwamba swala la jamii fulani yenye mfanano wa kigenetiki huweza kuwa na hii hali ya mipasuko na jamii nyingine isiwe nayo


πŸ“€ TATIZO HILI LA MIPASUKO KATIKA ULIMI HUWA NA UHUSIANO NA MAMBO KAMA HAYA :


☂ Geographic tongue


☂ Kuvimba kwa lips na uso kutokana na matatizo ya neva

.

☂ Upungufu wa virutubisho muhimu kwa mwili n.k 


MATIBABU


Tatizo hili kiufupi  linatibika ivyo akikisha unafuata ushauri hapo


πŸ“€ USHAURI


Ubaya wa hii mipasuko ni kwamba endapo chakula kitabakia kwenye hiyo mipasuko , itapelekea bacteria kuzaliana , maumivu na hata kupelekea harufu mbaya ya kinywa na hata kuchangia meno kuharibika



Muhusika pia anakua katika mazingira marahisi ya kushambuliwa na fungus wa kinywa (candinda ablicans) , ikiwa imekutokea basi dawa zipo , onana na daktari sasa nikupe suruhisho la kudumu.



πŸ“š Hakikisha unafanya usafi wa kinywa angalau mara mbili kila siku 


Suruhisho la tiba kuondoa mipasuko na kufanya uwe na kinywa chenye afya

Piga

0684450076

Comments

Popular posts from this blog

Madhra ya Punyeto Kwa Mwanaume

𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗨 π—­π—œπ—‘π—”π—­π—’ 𝗙𝗔𝗑𝗬𝗔 𝗠π—ͺπ—”π—‘π—”π—¨π— π—˜ π—”π—¦π—›π—œπ—‘π——π—ͺπ—˜ π—¦π—œπ— π—”π— π—œπ—¦π—›π—” π—©π—œπ—­π—¨π—₯π—œ π—¨π—¨π— π—˜

DALILI ZA HORMONE ZA KIUME ZILIZO ZIDI KWA MWANAMKE