SABABU YA MATATIZO YA MACHO KUTOONA VIZURI

 SABABU YA MATATIZO YA MACHO!!..๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ


watu wengi sana siki hizi wamejikuta wakipata matiizo mbalimbali ya macho hasa maumivu makali,macho kuwasha,kutokuona vizuri , maumivu ya kichwa au macho kuwa mekundu bila kujua sababu ni upi..




 SABABU YA UGONNJWA WA MACHO


๐ŸŒป๐ŸŒป๐ŸŒป๐ŸŒป


๐Ÿฉบ *LISHE DUNI!!!* 

lishe duni hasa yenye upungufu wa madini ya zinc, OMEGA3, vitamini A,C na E, hudhohofisha nguvu misuli ya macho  na hivyo kupata changamoto ya kuona .



๐Ÿฉบ *MWANGA MKALI SANA* !!

wengine hujisamea kwenye taa za mwanga mkali hivyo kuumiza macho na kuchisha misuli ya macho na hatimaye macho kuuma au kuwa makavu sana..


๐Ÿฉบ *MAGONJWA YANAYOHUSIANA NA MACHO* .

watu wenye magonjwa kama vile KISUKARI,PRESHA, ALBINO nk hukumbwa na tatizo la macho kwa muda mrefu.


๐Ÿฉบ *MCHAFUKO WA DAMU AU SUMU NYINGI MWILINI* !!.

matumizi ya dawa zenye kemikali mara kwa mara, uvutaji wa sigara na mchafuko wa damu husababisha maumivu ya kichwa,kukosa usingizi na matatizo ya kutokuona vizuri..


๐Ÿฉบ ATHARI ZA KEMIKALI KWENYE MACHO

Wengine hujikuwa wakiwa vipofu au kutokuona vizuri kutokana na kumwagikiwa na tindikali au kemikali hatari sana machoni.


๐Ÿฉบ *ATHARI ZA VINASABA NA MAGONJWA 6A KURITHI..* 

kuna watoto wengine huzalishwa wakiwa tayari wana matatizo ya macho hivyo kuwa na ulemavu huo .


๐Ÿฉบ *UZEE AU UMRI MKUBWA* 

kutokana na uchakavu wa mwili na seli mbalimbali ikiwemo macho,wazee wengi huwa na tatizo la macho..



๐Ÿฉบ JE UMESUMBUKA SANA KWA MATATIZO YA MACHO KWA MUDA MREFU BILA SULUHISHO LA KUDUMU? ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ


 JIPATIE TIBA BORA YA VIRUTUBISHO ITAKAYOTIBU TATIZO LAKO BILA MADHA NA KUBORESHA UONO WAKO

0684450076

Comments

Popular posts from this blog

ONDOA MSONGO WA MAWAZO NA REJESHA KUMBUKUMBU

KUVIMBA KWA KORODANI NA MAUMIVU YA KORODANI SABABU NA TIBA

X POWER MAN CAPSULE