CHANZO CHA KUKOSA UJA UZITO FAHAMU

 HOMON IMBALANCE (KUVURUGIKA KWA HOMONI)CHANZO CHA KUKOSA MTOTO


:Hili ni tatizo linalowakumba wakina mama(wanawake) wengi ambalo husababishwa na kiwango kidogo cha hormone ya ESTROGEN.


*VYANZO VYA KUVURUGIKA KWA HORMONE*

➡Utoaji wa mimba

➡Uwepo wa sumu mwilini.

➡kutokula mlo uliokamili au mfumo mbovu wa maisha.

➡Family history(upungufu wa ongezeko ya homoni ya progesterone

➡mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa.

➡uzito mkubwa

➡Msongo wa mawazo.

➡Kutofanya mazoezi.

➡Matumizi ya kisasa ya uzazi wa mpango.

➡Kukoma kwa hedhi.


*Dalili za kuvurugika kwa homoni*

✅Maumivu wakati wa tendo LA ndoa.

✅Kutoshika mimba.

✅Mzunguko wa hedhi kubadilika.

✅Kuongezeka uzito.

✅Kupungua hamu ya tendo LA ndoa.

✅Kupoteza kumbukumbu.

✅Hasira za Mara kwa Mara.

✅Damu kutoka nyingi wakati wa hedhi au kutoa damu yenye mabongemabonge

✅Uke kuwa mkavu.

✅kutoka jasho jingi usiku.

✅maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi

✅mzio wa vyakula/Allerg kuchaguachagua vyakula.



*Madhara ya kuvurugika kwa homoni*

✔kutoshika ujauzito kwa mda mrefu.

✔Mimba kuharibika Mara kwa Mara.

✔Kuwa mgumba.

✔U.t.I Mara kwa Mara.

✔Uvimbe kwenye via vya uzazi wa mwanamke.(fibroids)

✔kuziba kwa mirija ya uzazi.

saratani.


Hormone imbalance inatibika ondoa shaka,,jali afya yako

Piga

0684450076👪

Comments

Popular posts from this blog

ONDOA MSONGO WA MAWAZO NA REJESHA KUMBUKUMBU

UGONJWA WA SUKARI NA TIBA FAHAMU SURUHISHO LA KUDUMU

KUVIMBA KWA KORODANI NA MAUMIVU YA KORODANI SABABU NA TIBA