SABABU ZA KUSHINDWA RUDIA TENDO NA TIBA


 leo tuangalie kanuni 5 ambazo Unaweza kuzitumia,


Na zikakusaidia kurudia tendo la ndoa kirahisi zaidi.


Kanuni ya WANZAπŸ‘‡


➡️ Jua UWEZO WAKO wa kurudia tendo,


Je unarudia baada ya dk 5 au dk 10, au dk 30 au Ngapi??


Kumbuka kila mmoja ana uwezo wake binafsi.


Kama hauujui pia USIWAZE endelea kusoma ujumbe huu mpaka mwisho....


Kanuni ya PILIπŸ‘‡


➡️ Hakikisha unajizuia USISINZIE baada ya kumaliza cha kwanza,


Tunafahamu kwamba unapo maliza round ya kwanza,


Huwa kuna ka usingizi ka kishetani kanatupitia,


Ili usiweze kurudia bao la Pili, πŸ™ˆ


Sasa haka ka usingizi unatakiwa KUKAKEMEA kwa kufanya mambo yafuatayo;


▪️ OGA maji ya vuguvugu kama utaweza.


▪️Kama wewe ni Muislamu basi SHIKA UDHU.


Huo usingizi hautakupata na utarudia tendo la ndoa vizuri tu.


Kanuni ya TATUπŸ‘‡


➡️ Piga story za KUONGEZA HISIA na mke wako,


Wakati ukipiga nae stori shika zile sehem Ambazo,


Huwa unazitamani zaidi kwa mke wako,


Inaweza kuwa makalio, Chuchu, nywele n.k


Hii itakusaidia kukupa muhemko wa kurudia bao la pili na la tatu n.k

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ 


Kanuni ya NNEπŸ‘‡


➡️ Epuka kunywa kitu cha BARIDI SANA baada ya kumaliza show ya kwanza


Kunywa kitu cha baridi kama vile Maji,


Kinaweza kupelekea mwili kupooza na hivo kushindwa kurudia,


Badala yake Unashauriwa kutumia vitu kama,


▪️Supu

▪️Kahawa

▪️Chai ya Tangawizi n.k


Kanuni ya TANO


➡️ Epuka kupiga STORY MBAYA na mke wako.


Story za ugomvi, story za misiba, story za mchumba. wako wa zamani n.k.


Epuka story hizo ukiwa katika kusubiri bao lingine.


KUMBUKA


Bao la pili ni muhim sana katika tendo la ndoa na mahusiano yenu kwa ujumla.


By the way,


Tumia njia hizo kikamilifu, kama hautapa matokeo,


Basi wewe Package inakuhusu kwa Sababu tatizo lako ni kubwa

piga simu

0684450076

Comments

Popular posts from this blog

Madhra ya Punyeto Kwa Mwanaume

𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗨 π—­π—œπ—‘π—”π—­π—’ 𝗙𝗔𝗑𝗬𝗔 𝗠π—ͺπ—”π—‘π—”π—¨π— π—˜ π—”π—¦π—›π—œπ—‘π——π—ͺπ—˜ π—¦π—œπ— π—”π— π—œπ—¦π—›π—” π—©π—œπ—­π—¨π—₯π—œ π—¨π—¨π— π—˜

DALILI ZA HORMONE ZA KIUME ZILIZO ZIDI KWA MWANAMKE