SABABU YA MWANAMKE KUKOSA HISIA ZA KIMAPENZII
MAMBO YANAYO PUNGUZA HISIA ZA MAPENZI KWA MWANAMKE
🛍️Uzito mkubwa Uliokithiri.
🛍️Uzito mdogo uliokithiri
🛍️Msongo wa Mawazo
(Migogoro, Ugomvi)
🛍️Kupanda kwa homoni ya Prolactin
Kitalamu hyperprolactinemia
🛍️Kushuka kwa Homoni ya Estrogen
🛍️Maradhi ya Tezi ya Shingo(Thyroid disorders)
Graves' disorder na Hashimoto's thyroiditis
🛍️Kuwa na Kisukari Kilicho Jificha (Pre diabetes) na Kuwa na Kisukari rasmi.
🛍️Kutawala kwa homoni za kiume
Kitalamu Hyperandrogenism.
🛍️Mwili kuwa kwenye Msongo wa Sumu ziitwazo Free radicals Kitalamu tunaita Oxidative stress
🛍️Maradhi sugu kwenye njia za uzazi
Mfano Zinaa,Kansa ya kizazi,Fistula,HPV,HSV-2 nk. Maradhu humkosesha mwanamke amani na uhuru juu ya mwili wake.
Kwa changamoto mbalimbali za uzazi wasiliana nasi kupitia Namba ya Daktari whaspp iniboxs upewe maerekezo ya matibabu+255684450076
Comments