Madhra ya Punyeto Kwa Mwanaume
MADHARA ya kupiga punyeto Yafuatayo ni madhara ya kupiga punyeto au wengine huita puli(masturbation) ❤1. punyeto humfanya uume kua lege lege na kuonekana mdogo/kibamia na usio jaza yaani mwembamba kabla ya awali ❤2. Husababisha mwanamume kutoa mbegu haraka kipindi cha tendo la ndoa na mwanamke na kushindwa kumfikisha mwanamke kileleni.... (Premature ejaculation) anaweza akajikuta akigusa tu nanii ndani ya dakika cha he mheshimiwa anatapika. ❤3. Ni moja ya chanzo Kikuu cha kupoteza nguvu za kiume, uume kusinyaa na kukosa nguvu kwa sababu ya kuharibu mishipa ya fahamu wakati MTU akijisugua katika kulitafuta bao ❤4. Hupunguza idadi ya mbegu za kiume (low sperm count) hivyo ni mbaya sana kwa watu wanaotafuta mtoto na huleta infection na kusababisha,manii kuwa nyepesi na unapofanya jimai manii kutoka kwa mkewe badala ya kuingia ukeni na huweza kuwa sababu ya kutopata mtoto ❤5. Husababisha mtu kusahau sahau sana na kushindwa kufanya vitu kwa makini zaidi ❤6. Huleta utumwa wa kifikra k