CHANZO CHA KUKOSA UJA UZITO FAHAMU

HOMON IMBALANCE (KUVURUGIKA KWA HOMONI)CHANZO CHA KUKOSA MTOTO :Hili ni tatizo linalowakumba wakina mama(wanawake) wengi ambalo husababishwa na kiwango kidogo cha hormone ya ESTROGEN. *VYANZO VYA KUVURUGIKA KWA HORMONE* ➡Utoaji wa mimba ➡Uwepo wa sumu mwilini. ➡kutokula mlo uliokamili au mfumo mbovu wa maisha. ➡Family history(upungufu wa ongezeko ya homoni ya progesterone ➡mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa. ➡uzito mkubwa ➡Msongo wa mawazo. ➡Kutofanya mazoezi. ➡Matumizi ya kisasa ya uzazi wa mpango. ➡Kukoma kwa hedhi. *Dalili za kuvurugika kwa homoni* ✅Maumivu wakati wa tendo LA ndoa. ✅Kutoshika mimba. ✅Mzunguko wa hedhi kubadilika. ✅Kuongezeka uzito. ✅Kupungua hamu ya tendo LA ndoa. ✅Kupoteza kumbukumbu. ✅Hasira za Mara kwa Mara. ✅Damu kutoka nyingi wakati wa hedhi au kutoa damu yenye mabongemabonge ✅Uke kuwa mkavu. ✅kutoka jasho jingi usiku. ✅maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi ✅mzio wa vyakula/Allerg kuchaguachagua vyakula. *Madhara ya kuvurugika kwa homoni* ✔kutoshika...