Posts

Showing posts from October, 2022

SABABU ZA MWANAUME KUSHINDWA MPA UJAUZITO MWANAMKE

Image
 ```NGUVU YA MEN'S KIT PACKAGE KWENYE MFUMO WA UZAZI WA MWANAUME💪🏿👇``` Mwanaume, aibu za kuwahi kufika kileleni zinaepukika Kushindwa tungisha ujauzito zinaepukika. Anza Tiba Leo. ZIJUE FAIDA ZAKE ITAKUSAIDIA; ➡️Kuondoa tatizo la Kuwahi kufika kileleni ➡️Kuongeza uzalishaji wa mbegu za kiume ivyo kusaidia kutungisha ujauzito kwa halaka ➡️Kuondoa tatizo la Homon Imbalance ➡️Kuzuia maumivu ya korodani na Korodani kupanda juu ➡️Kuimarisha na Kuongeza nguvu katika mirija ya uume ➡️Kuupa Msuli wa Pelvic nguvu ➡️Kuepusha uume Kusinyaa katikati ya tendo la ndoa ➡️Kuzalisha mbegu Zenye ubora na kuzuia Ugumba/Utasa kwa mwanaume ➡️Kusafisha kibofu Cha Mkojo ➡️Kuzuia na kutibu maambukizi kwenye Uzazi, maumivu ya mgongo na tumbo kwa mwanaume ➡️Kuzuia Korodani kuvimba au kusinyaa *USIHANGAIKE TENA MWANAUME💪🏿💯* *#WASILIANA NASI. PIGA/WHATSAPP;  +255684450076 . Bei. Tsh150000

TATIZO LA KUWAI KUFIKA KILELENI NA MATIBABU YAKE

Image
 TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELENI MAPEMA  (Pre mature ejaculation ) Pre mature ejaculation ni nini? Hii ni hali ambayo mwanaume anatoa mbegu mapema sana kipindi cha tendo la ndoa na mara nyingi huambatana na kushindwa kumridhisha mke  wake. Tatizo hili limekua likiwapata wanaume wengi na kujisikia aibu mbele za wenzi wao pale wanaposhindwa kuendelea kabisa baada ya hali hii kutokea. Kimsingi mwanaume anatakiwa achukue dakika nane mpaka kumi na tano kabla ya kutoa mbegu za kwanza lakini watafiti wanasema tatizo hili hugundukiwa mtu anapotoa mbegu ndani ya dakika moja au kabla ya dakika moja. Tatizo hili huweza kutokea mara tu baada ya kubalehe,{primary pre mature ejaculation}  Muda mrefu baada ya kubalehe{secondary PE} au kutokana na aina ya mwanamke uliompata.{situational PE} Chanzo ni nini? Tatizo hili halina sababu za kitaalamu zilizofanyiwa utafiti zikakakubalika ila wanasayansi wanaamini sababu zifuatazo zinaweza kua chanzo kikuu cha tatizo hilo. ✔️Kupiga punyeto au kujichua; Mara

MADHARA YA PUNYETO YANAVYO SABABISHA UUME KUWA MDOGO KAMA WA MTOTO MDOGO

Image
 Mtu anayepiga punyeto husababisha mambo yafuatayo katika mwili wake : 1. Huua nguvu ya mishipa & misuli ya uume ambayo ndio inayo husika na kusimama kwa uume 2. Mishipa ya uume inapo sinyaa na kukosa nguvu yake ya asili, husababisha mambo yafuatayo : i. Huondoa uwezo wa mishipa & misuli ya uume kutanuka, na hii ndio sababu inayo wafanya waathirika wa punyeto kutumia nguvu nyingi sana katika kuufanya uume usimame. ii. Huondoa uwezo wa mishipa & misuli ya uume kuibana na kuiziba mishipa ya vena, na hii ndio sababu inayo fanya waathirika wa punyeto kufika kileleni haraka sana, kwani damu inayo ingia kwenye misuli ya uume hufyonzwa ndani ya muda mfupi sana. Hii hutokea kwa sababu mishipa na misuli ya uume inakuwa imelegea,na mishipa ya vena inakuwa imepwaya, hivyo msuguano wowote ule hufanya mishipa ya vena kufunguka na kufyonza damu kutoka kwenye mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume kusinyaa ndani ya dakika ama sekunde chache sana. 3. Vile vile punyeto hufanya uume kusinyaa

SABABU ZINAZO SABABISHA UPUNGUFU NGUVU ZA KIUMME

Image
 𝗞𝗨𝗛𝗜𝗠𝗜𝗟𝗜 𝗧𝗘𝗡𝗗𝗢 𝗩𝗜𝗭𝗨𝗥𝗜 zingatia 𝗠𝗔𝗠𝗕𝗢 𝗠𝗔𝗡𝗡𝗘 (4) yawe imara katika mwili wako ili kufanya performance yako iwe imara muda wote. 𝟭) √𝗠𝘇𝘂𝗻𝗴𝘂𝗸𝗼 𝘄𝗮 𝗗𝗮𝗺𝘂 ©Hapa ndipo performance ya tendo ilipolalia kwa asilimia zaidi ya 70 Ili usimamishe imara na Muda mrefu Damu inatakiwa ifike ya kutosha kwenye dhakari yako. 𝟮) ✓𝗠𝗶𝘀𝘂𝗿𝗶 ©Hapa ni mhimu sana maana mashine yako haiwezi kuwa bora kama misuri imelegea inaweza kuwa chanzo ni punyeto,Maradhi ya Muda mrefu mpangilio mbovu wa vyakula Unene kuzidi n.k 𝟯) ✓𝗛𝗼𝗿𝗺𝗼𝗻𝗶 ©Hapa ni muhimu sana maana Ili taarifa za msisimko wa tendo ziendelee kudumu kwa Muda mrefu mwilini inahitaji hormoni ziwe sawa Ili kukufanya ufikilie tendo tu na usipoteze hisia. 𝟰) ✓𝗠𝗺𝗲𝗻𝗴'𝗲𝗻𝘆𝗼 𝘄𝗮 𝗰𝗵𝗮𝗸𝘂𝗹𝗮. ©Hapa ni muhimu sana maana Ili mwili uweze kuvuta madini , protein na vitamins ambazo zinahitajika sana katika mwili ili kukuweka imara zinahitaji usafi wa utumbo wako.Kumbuka kupata choo kigumu kukosa choo k

FAHAMU UGONJWA WA P.I.D NA MATIBABU

Image
 🔻JE WAJUA NINI MAANA YA MAAMBUKIZI KATIKA VIA VYA UZAZI? JIFUNZE SASA, SABABU, DALILI, MADHARA, NA TIBA 🔻 Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke kwa kitaalamu Pelvic Inflamatory Diseases au kwa kifupi PID, ni moja ya matatizo ambayo huwaathiri sana wanawake.  ▪️CERVIX  hali ambayo hujulikana kama cervicitis, ▪️ ENDOMETRIUM kitabibu huitwa endometritis, ▪️ FALLOPIAN TUBES  kitabibu kama salpingitis. 🔻 P. I. D HUSABABISHWA NA NINI? 🔻  Aina kadhaa za vimelea kuhusishwa na PID,  ▪️ Neisseria Gonorrhoeae ▪️Chlamydia trachomatis ndivyo vinavyoongoza kwa umaarufu zaidi katika kusababisha PID kwa akina mama. Je mwanamke huambukizwaje PID? Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza kuambukizwa PID. Njia hizo ni pamoja na ▪️Kufanya ngono isiyo salama ▪️Maambukizi ya njia ya uzazi hasa kipindi mara baada ya kujifungua (au postpartum period) ▪️Maambukizi ya njia ya uzazi mara baada ya kutoa mimba kwa njia zisizo salama (post abortion) au mara baada ya mimba kutoka (miscarriage) ▪️Kutumia

MATIBABU CHOO KIGUMU TUMBO KUJAA GESI

Image
 FAIDA ZA CONSTIRELAX #Inasafisha tumbo vizuri mno na kuondoa hali ya kuvimbiwa (constipation) #Inaondoa sumu zote tumboni ○ Inaondoa dalili za Bawasiri sugu (Acute Hemorrhoids) kama kuvimba, kutoka damu. #Inaboresha mzunguko wa maji maji mwilini na kuondoa viuvimbe vinavyo sababishwa na maji maji. #Inasaidia kutibu aina mbali mbali ya vidonda vya tumbo (Peptic & Gastric) #Tiba nzuri ya Mawe kwenye figo. #Inaboresha ngozi yako kwa kuondoa sumu ndani. #Inaondoa gesi na uchafu wote usiotakiwa tumboni .  ● VIUNGO (INGREDIENTS) #FOS (Fructo-oligosaccharide #Radix Astragali #Prebiotic  ● MATUMIZI ○ Sachet 1 mara 2 kwa siku kabla ya chakula ○ Kwa watoto nusu Sachet mala 2 kwa siku kabla ya chakula kwa siku.  ● TAHADHARI ○ Kwa watakaotumia mara ya kwanza wengine itawaletea hari ya kuvulugwa tumbo na hata kuhara au gasi na kuunguruma kwa tumbo Hii ni kawaida inatokana na kusafisha tumbo na kuondoa bacteria (phenomenon) hali itaisha kadri anavyoendelea kutumia. Piga simu 0684450076 Kujipati

AFYA NA UZIMA SOMA HAPA

Image
 AFYA NA UZIMA     Afya na Uzima tupo hapa kukupa ushauri wa namna bora ya kuishi, jinsi ya kujikinga na magonjwa yasiyo ambukiza ili kua mzima mwenye afya bora. Tunatoa huduma popote ulipo kwa njia ya simu kwa kupitia vituo vyetu vilivyopo Tanzania nzima. Tunazo bidhaa bora zitakazokupa afya na uzima Tunapatikana Dar-es-salaam, Dodoma, Arusha, Mwanza, na mikoa yote.  kwa mawasiliano   TUNATOA MATIBABU NA USHAURI KWA MIFUMO YOTE YA MWILI KWA KUSHUGHULIKIA CHANZO CHA TATIZO KWA KUTOA BIDHAA BORA KWA CHANGAMOTO ZIFUATAZO. v  Mfumo wa viungo na mifupa v  Mfumo wa uzazi v  Kinga ya mwili v  Mfumo wa damu v  Kupunguza uzito v  Mfumo wa mmeng’enyo wa chakula. v  Makuzi na afya bora kwa watoto v  Bidhaa za afya kwa matumizi ya kila siku nyumbani v  N.k                                                BIDHAA ZA VIUNGO NA MIFUPA. Ø ARTHROXTRA.     - Ni muhimu sana kwa Afya za viungo vya mwili, wafanya mazoezi, wanajeshi, wacheza mpira, wamama wote, wanaopenda wanaopenda kuvaa viatu virefu(high he