Posts

Showing posts from February, 2023

MIPASUKO/MICHANIKO KWENYE ULIMI NA TIBA YAKE

Image
  TATIZO LA MIPASUKO KATIKA ULIMI 📚 Ulimi wa mtu kwa mipasuko tiba piga 0684450076 kawaida hautakiwi kuwa na mipasuko ya aina yoyote .  Sasa hawa watu wenye ulimi uliopasuka huwa hawana maumivu , isipokua tu labda kama kuna chakula kimekwama kwenye hiyo mipasuko ndio muhusika atahisi maumivu 📚 Mipasuko hii huweza kuwa iliyochimbika sana au kiasi tu. Wazee ndio hupatwa sana na hii mipasuko ya ulimi , japo yeyote yule anaweza kuwa na ulimi wa hivi. Wanaume ndio huwa zaidi na tatizo hili kuliko wanawake 📤 NINI HUSABABISHA HALI HII ? Hadi sasa , wataalamu hawajui ni nini hupelekea hali hii ya mipasuko kwenye ulimi , japo ina amini kwamba watu wenye undugu (genetics) huweza kuwa na tatizo hili na wengine wasiwe nalo . mfano katika familia , unaweza kuta mzazi ana tatizo hili na watoto pia . Mfano : Kuna tafiti ilifanyika na ikabaini kwamba watu wa South Africa ni 0.6% tu ya watu wote ndio wana tatizo hili la mipasuko kwenye ulimi , lakini Katika Taifa la Israel 30.6% ya watu wote ndio wa

SABABU YA MATATIZO YA MACHO KUTOONA VIZURI

Image
  SABABU YA MATATIZO YA MACHO!!..📌📌📌 watu wengi sana siki hizi wamejikuta wakipata matiizo mbalimbali ya macho hasa maumivu makali,macho kuwasha,kutokuona vizuri , maumivu ya kichwa au macho kuwa mekundu bila kujua sababu ni upi..  SABABU YA UGONNJWA WA MACHO 🌻🌻🌻🌻 🩺 *LISHE DUNI!!!*  lishe duni hasa yenye upungufu wa madini ya zinc, OMEGA3, vitamini A,C na E, hudhohofisha nguvu misuli ya macho  na hivyo kupata changamoto ya kuona . 🩺 *MWANGA MKALI SANA* !! wengine hujisamea kwenye taa za mwanga mkali hivyo kuumiza macho na kuchisha misuli ya macho na hatimaye macho kuuma au kuwa makavu sana.. 🩺 *MAGONJWA YANAYOHUSIANA NA MACHO* . watu wenye magonjwa kama vile KISUKARI,PRESHA, ALBINO nk hukumbwa na tatizo la macho kwa muda mrefu. 🩺 *MCHAFUKO WA DAMU AU SUMU NYINGI MWILINI* !!. matumizi ya dawa zenye kemikali mara kwa mara, uvutaji wa sigara na mchafuko wa damu husababisha maumivu ya kichwa,kukosa usingizi na matatizo ya kutokuona vizuri.. 🩺 ATHARI ZA KEMIKALI KWENYE MACHO Wen

MAUMIVU WAKATI WA HEDHI NA TIBA

Image
  Nini sababu ya maumivu makali ya hedhi ? 1.kuota kwa tishu (nyamnyama) maeneo mengine tofauti na tumbo la mimba. Kitaalam hali hii inatambulika kama endometriosis. Hali pia inaweza kuwa na dalili zifuatazo:- A.Kutokwa na damu nyingi sana wakati wa hedhi B.Hedhi kuchukuwa siku zaidi ya 7 C.Kutokwa na damu kabla ya siku za hedhi kufika D.Maumivu ya tumbo E.Maumivu wakati wa tendo la ndoa F.Kupata maumivu wakati wa haja kubwa. G.Kuchelewa kupata ujauzito 2.Shida kwenye mfumo wa homoni, hali hii kitaalamu inatambulika kama Polycystic Ovary Syndrome (PCOS). hali hii ni ya kawaida sana takribani kwa kila wanawake 10 mmoja wao huwa na hali hii. Miongoni mwa sababu kuu ni kuwa na homoni za kiume nyingi (androgens) na kutokuwa na siku maalumu za kupata hedhi. Hali hii inaweza kuwa na dalili kama: A.Kutokwa na damu nyingi sana B.Kupata hedhi kwa muda mrefu C.Kuota ndevu ama mwele kuwa nyingi maeneo mbali mbali ya mwili kama ilivyo kwa wanaume D.Kuwa na uzito mwingi na usio rahisi kuupunguza E.

UUGONJWA WA BAWASIRI DALILI MADHARA DALILI NA MATIBABU YAKE

Image
  VYANZO  VYA BAWASIRI ✔Kuwa na uzito kupita kiasi ✔kutumia nguvu kupush wakati wa kujifungua ✔kukaa sana juu ya kitu kigumu ✔kufanya ngono kinyume na maumbile ✔kupata choo ngumu ✔kula sana nyama nyekundu ✔pressure ya kupanda ✔kula sana pili pili ✔kula udongo ✔kutumia vyoo vya kukaa ✔kuharisha kupita kiasi ✔kunyanyua vitu vizito MADHARA YA BAWASIRI ✔upungufu wa damu ✔kutokwa na ki nyesi bila kujitambua ✔kukosa hamu ya tendo la ndoa ✔upungufu wa nguvu za kiume ✔kuathirika kisaikolojia ✔kutopata ujauzito ✔mimba kuharibika ✔kupata cancer ya utumbo ✔mwili kudhoofika Pata Suluhisho la tatizo lako sasa.  0684450076