Posts

KUVIMBA KWA KORODANI NA MAUMIVU YA KORODANI SABABU NA TIBA

Image
MAUMIVU NA KUVIMBA KWA KORODANI ZA MWANAUME Ni ugonjwa unaoathiri korodani na kuifanya ivimbe, ugonjwa huu unaweza kusababishwa na bacteria au virusi. Kutokana na maambukizi ya vimelea hivi bacteria na virusi huweza kupelekea kuathirika kwa korodani moja au zote mbili kwa wakati mmoja. Lakini kabla ya kwenda mbali zaidi ni vizuri kukumbuka kwamba korodani kazi yake kubwa ni kuzalisha mbegu za kiume. Chanzo cha tatizo hili · Chanzo kikubwa cha ugonjwa huu ni aina ya virusi vijulikanvyo kama ‘mups virus,’ kwa hiyo virusi hawa endapo watashambulia korodani husababisha korodani kuvimba na kupunguza utendaji kazi wake. · Maambukizi yanayotokana na vimelea (bacteria) inawezekana ni vimelea wanaosababisha tatizo la mkojo mchafu (U.T.I) na magonjwa mengine ya zinaa kama Kaswende, Kisonono. · Kuumia kwa korodani, pengine inaweza kuwa chanzo ni ajali au michezo ya hatari, hali kama hiyo pia huweza kuchangia korodani kuvimba. · Maambukizi ya ‘epididymis’ ni chanzo kingine cha tatizo hili, ambapo ...

UGONJWA WA SUKARI NA TIBA FAHAMU SURUHISHO LA KUDUMU

Image
 MATIBABU Ya Ugonjwa Wa Sukari. πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ 1: *GYMEFFECT*  Vidonge vya  GymEffect -   • GymEffect ni kirutubisho lishe kilichotengenezwa  ili kurekebisha viwango  vya sukari kwenye damu ili kuwa katika hali ya kawaida ikiwemo kwenda kufufua ishulin zilizo poteza ufanisi.  • Hudhibiti viwango vya sukari kwenye damu  • Husaidia kupunguza hamu ya sukari  • Hudumisha Viwango Vizuri vya Sukari kwenye Damu  • kupunguza viwango vya sukari kwenye damu na kupunguza hamu ya sukari  • huongeza matumizi ya insulini na kuvunja upinzani wa insulini  Viambatanisho vinavyotumika: Gymnema Sylvestris Extract, Chromium-Rich Yeast, na Pyrroloquinoline Quinone (PQQ) Disodium Salt  • Uzito wa jumla: 30g  • Chapa:   Vidonge vya  GymEffect vina viambato 3 vya asili vyenye nguvu ambavyo husaidia kudhibiti viwango vya sukari kwenye damu.  Gymnema Sylvestris huzuia sukari kuingia mwilini na kuboresha magonjwa ya moyo....

MAUMUVU WAKATI WA KUKOJOA NA TIBA

Image
 *Maumivu Wakati wa Kukojoa Yanavyotokea* Maumivu wakati wa kukojoa hutokana na kuchubuka kwa njia ya mkojo.  Kuchubuka huku hutokea pale njia ya mkojo inaposhambuliwa na bakteria au kemikali na kuharibu ukuta wa juu wa njia ya mkojo hivyo huwa kama kidonda na wakati mwengine kuwa na kijiuvimbe kwenye njia ya mkojo. Pale mkojo unapopita eneo hili basi unapata maumivu kama ya kuungua.  Maumivu haya yanaweza kutokea wakati wote unakojoa, mwanzoni au mwishoni mwa kukojoa. Kwa watoto wadogo, mara nyingi hulia wakati wanakojoa ikiwa wanapata maumivu kwani hawawezi kuongea. Pia yanaweza kuambatana na dalili nyingine kama homa, kutokwa na usaha au uchafu sehemu za siri, kutokwa mkojo wenye damu damu, maumivu chini ya kitovu au maumivu ya ubavu (flanks). *Sababu za Maumivu Haya* Maumivu haya hutegemea na chanzo cha ugonjwa unaoleta dalili hii.  Baadhi ya vyanzo vya maumivu wakati wa kukojoa ni: *Maambukizi ya njia ya mkojo (UTI)* Ugonjwa huu huleta maumivu kama ya kuungua kw...

RUDISHA NGUVU ZA KIUME NA KUIMARISHA MISURI YA UUME

Image
 Rudisha Nguvu za Kiume Ndani ya Siku 21 Tu, Hata Kama Ushatumia Kila Aina Ya Dawa Bila Mafanikio. Je, wewe ni Mwanamme uliyepoteza tumaini kutokana na changamoto ya NGUVU za kiume ? licha ya kutumia kila dawa, bado umeshindwa kutatua changamoto hiyo ? Hebu niambie ... Furaha Yako hivi SASA imetoweka ? Uume wako husinyaa kila ukijaribu kubadilisha style au mtindo wakati wa kujamiana ? Uume wako husimama kwa ulegevu baada ya kumaliza bao la kwanza ? Hukosa hisia kabisa baada tu ya kufika kileleni safari ya kwanza ? Kuchoka sana baada ya kufanya mapenzi ? Uume kutosimama ukiwepo na mwenza wako lakini akiondoka unaona unapata hamu na uume unasimama vizuri ? Hufika kileleni haraka sana na baada ya kufika unashindwa kurudia tena tendo ? Hutoa mbegu hafifu, chache nyepesi kama maji ? Unashindwa kumpa mpenzi wako ujazuzito ? Pole Sana...! . Haya ni matatizo wanayopitia wanaume wengi sana kwa sasa. . Hali hii inatokana na changamoto mbali mbali za maisha, athari za magonjwa sugu na kujichu...

SABABU YA MWANAMKE KUKOSA HISIA ZA KIMAPENZII

Image
  MAMBO  YANAYO PUNGUZA HISIA ZA MAPENZI KWA MWANAMKE πŸ›️Uzito mkubwa Uliokithiri. πŸ›️Uzito mdogo uliokithiri πŸ›️Msongo wa Mawazo  (Migogoro, Ugomvi) πŸ›️Kupanda kwa homoni ya Prolactin Kitalamu hyperprolactinemia πŸ›️Kushuka kwa Homoni ya Estrogen πŸ›️Maradhi ya Tezi ya Shingo(Thyroid disorders) Graves' disorder na Hashimoto's thyroiditis πŸ›️Kuwa na Kisukari Kilicho Jificha (Pre diabetes) na Kuwa na Kisukari rasmi. πŸ›️Kutawala kwa homoni za kiume Kitalamu Hyperandrogenism.  πŸ›️Mwili kuwa kwenye Msongo wa Sumu ziitwazo Free radicals Kitalamu tunaita Oxidative stress πŸ›️Maradhi sugu kwenye njia za uzazi  Mfano Zinaa,Kansa ya kizazi,Fistula,HPV,HSV-2 nk. Maradhu humkosesha mwanamke amani na uhuru juu ya mwili wake. Kwa changamoto mbalimbali za uzazi wasiliana nasi kupitia Namba ya Daktari whaspp iniboxs upewe maerekezo ya matibabu+255684450076

CHANZO CHA KUKOSA UJA UZITO FAHAMU

Image
 HOMON IMBALANCE (KUVURUGIKA KWA HOMONI)CHANZO CHA KUKOSA MTOTO :Hili ni tatizo linalowakumba wakina mama(wanawake) wengi ambalo husababishwa na kiwango kidogo cha hormone ya ESTROGEN. *VYANZO VYA KUVURUGIKA KWA HORMONE* ➡Utoaji wa mimba ➡Uwepo wa sumu mwilini. ➡kutokula mlo uliokamili au mfumo mbovu wa maisha. ➡Family history(upungufu wa ongezeko ya homoni ya progesterone ➡mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa. ➡uzito mkubwa ➡Msongo wa mawazo. ➡Kutofanya mazoezi. ➡Matumizi ya kisasa ya uzazi wa mpango. ➡Kukoma kwa hedhi. *Dalili za kuvurugika kwa homoni* ✅Maumivu wakati wa tendo LA ndoa. ✅Kutoshika mimba. ✅Mzunguko wa hedhi kubadilika. ✅Kuongezeka uzito. ✅Kupungua hamu ya tendo LA ndoa. ✅Kupoteza kumbukumbu. ✅Hasira za Mara kwa Mara. ✅Damu kutoka nyingi wakati wa hedhi au kutoa damu yenye mabongemabonge ✅Uke kuwa mkavu. ✅kutoka jasho jingi usiku. ✅maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi ✅mzio wa vyakula/Allerg kuchaguachagua vyakula. *Madhara ya kuvurugika kwa homoni* ✔kutoshika...

ONDOA MSONGO WA MAWAZO NA REJESHA KUMBUKUMBU

Image
 Je unajua maajabu ya Cerebrain? Cerebrain  nikirutubisho kilichotengenezwa na mmea mashuhuri kwa sifa yake ya uponyaji unaoitwa Gingko Biloba... naomba uusome (google) tena Mmea wa Gingko biloba Kazi kubwa za Cerebrain/Gingko biloba ----------------------------------------------------------------- 1. kuzipa *uhai cells* za ubongo kwa kuhakikisha zinafanya kazi vizuri 2.Husaidia wenye matatzo ya kupoteza kumbukumbu 3.Huwasaidia waliopata shida ya masikio kutosikia vizuri/maskio kupiga kelele kitaalam kama *tinnitus* 4.Huwasaidia wenye shida ya macho kama itatumikana carovision 5.Husaidia watu wanaosikia uchovu mara kwa mara... kichwa kuuma au kukosa usingizi 6.Ninzur kwa wanaofanya kazi za *kompyuta...* 7..inasaidia kufanya damu kuwa nyepesi.. hivo kusaidia mawasiliano katika *ubongo* na viungo vingine mwilini 8..Huwasaidia wale wanaopata shida ya *mkojo* kutoka bila kuzuia..  iwe usiku au mchana 9.Nzuri kwa wanafunzi 18+yrs.*wanachuo wanaopenda kuongeza performance* yao ...

MADHARA YA KUTOFANYA MAPEBZI KWA MUDA MREFU

Image
 MADHARA YA KUTOFANYA MAPENZI KWA MUDA MREFU. 1. Hasira za mara kwa mara kwa mambo madogo. 2. Kupendelea sana kuangalia picha za uchi. 3. Kusahausahau. 4. Kupendelea story za mapenzi, 5. Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (wadada). 6. Kupenda kurukiarukia mambo ya watu Wengine (Kufuatilia yasiyokuhusu). 7. Kuumwa na kichwa. 8. Kukakamaa mgongo (wanaume). 9. Kupoteza umakini katika kazi. 10. Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi. 11. Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo kama mbadala, mfano ulevi nk. Suruhisho piga 0684450076

DALILI ZA HORMONE ZA KIUME ZILIZO ZIDI KWA MWANAMKE

Image
 Dalili za kwamba una homoni za kiume zilizozidi Kwa Mwanamke na Tiba yake. πŸ‘‡πŸΌ πŸ˜₯kuota nywele nyeusi usoni kifuani, mgondoni, kwenye mikono, mapaja ama sehemu zingine ambazo siyo kawaida kwa wanawake. πŸ˜₯Chunusi nyingi kupita kiasi πŸ˜₯Kuota kipara πŸ˜₯Matiti kuwa madongo sana πŸ˜₯Misuli kukua na kujaa πŸ˜₯Kisimi kuwa kirefu sana sauti nzito ✊🏽Nini kinapelekea mwanamke kuota ndevu? Kila mtu ana vinyweleo kwenye ngozi yake na ni jambo la kawaida kabisa. Kazi ya vinyweleo hivi ni kurekebisha joto la mwili kwa kuruhusu jasho kutoka ama mwili utunze maji. Wakati wa kubalehe, homoni za kiume(androgens) huongezeka sana na kupelekea vinyweleo hivi kuwa vikubwa mpaka kuwa nywele kamili ambayo ni ndefu na nyeusi.  Hii ni kwa wote mwanamke na mwanaume. Wote wana homoni za kike na za kiume ndani yao, ila tu mwanamke ana homoni kidogo za kiume na mwanaume ana homoni kidogo za kike. Homoni hizi huendelea kubadilika kadiri umri wako unavosogea, unavobadilika uzito, kushika mimba na pia unavokarib...

SABABU ZA KUSHINDWA RUDIA TENDO NA TIBA

Image
 leo tuangalie kanuni 5 ambazo Unaweza kuzitumia, Na zikakusaidia kurudia tendo la ndoa kirahisi zaidi. Kanuni ya WANZAπŸ‘‡ ➡️ Jua UWEZO WAKO wa kurudia tendo, Je unarudia baada ya dk 5 au dk 10, au dk 30 au Ngapi?? Kumbuka kila mmoja ana uwezo wake binafsi. Kama hauujui pia USIWAZE endelea kusoma ujumbe huu mpaka mwisho.... Kanuni ya PILIπŸ‘‡ ➡️ Hakikisha unajizuia USISINZIE baada ya kumaliza cha kwanza, Tunafahamu kwamba unapo maliza round ya kwanza, Huwa kuna ka usingizi ka kishetani kanatupitia, Ili usiweze kurudia bao la Pili, πŸ™ˆ Sasa haka ka usingizi unatakiwa KUKAKEMEA kwa kufanya mambo yafuatayo; ▪️ OGA maji ya vuguvugu kama utaweza. ▪️Kama wewe ni Muislamu basi SHIKA UDHU. Huo usingizi hautakupata na utarudia tendo la ndoa vizuri tu. Kanuni ya TATUπŸ‘‡ ➡️ Piga story za KUONGEZA HISIA na mke wako, Wakati ukipiga nae stori shika zile sehem Ambazo, Huwa unazitamani zaidi kwa mke wako, Inaweza kuwa makalio, Chuchu, nywele n.k Hii itakusaidia kukupa muhemko wa kurudia bao la pili na ...

NJIA ZA KUONDOKANA NA KIBAMIA/UUME MDOGO KAMA MTOTO

Image
 *Watu wenye tatizo hili la kibamia wamegawanyika katika sehem mbili* Kuna wale ambao uume wao ukiwa umesimama, Ndo unaonekana MKUBWA, Lakini ukiwa umelala unaonekana MDOGO, Huyu tunasema hana tatizo la KIBAMIA, Na haitaji tiba yoyote. Lakini pia kuna wale ambao uume ukiwa HAUJASIMAMA, Unaonekana Kibamia na ukiwa UMESIMAMA pia unaonekana Kibamia, Huyu tunasema analo tatizo la kibamia. ➡️ Sasa basi tuone sababu 5 zinazo Pelekea Tatizo hili la Kibamia; ▪️ HORMONES Katika mwili kuna Hormone Inayohusika na ukuaji wa Viungo, Hormone hii inapo kua Chini hupelekea viungo vya mwili, Kukua taratibu ikiwemo uume pia. ▪️ KITAMBI Kitambi kinasababisha uume kurudi ndani, Hivyo kama una kitambi na una Kibamia ujue chanzo ni kitambi. Ijapokuwa kuna wengine wana kitambi na mashine ipo vizuri tu. ▪️ POMBE NA SIGARA Pombe na sigara vyote kwa pamoja vinasababisha uume kusinyaa, Kutokana na kemikali zinazo patikana katika vitu hivo. ▪️ MAWAZO / STRESS Mawazo yakizidi ni sababu ya mtu kuwa na Kibamia. ...

MIPASUKO/MICHANIKO KWENYE ULIMI NA TIBA YAKE

Image
  TATIZO LA MIPASUKO KATIKA ULIMI πŸ“š Ulimi wa mtu kwa mipasuko tiba piga 0684450076 kawaida hautakiwi kuwa na mipasuko ya aina yoyote .  Sasa hawa watu wenye ulimi uliopasuka huwa hawana maumivu , isipokua tu labda kama kuna chakula kimekwama kwenye hiyo mipasuko ndio muhusika atahisi maumivu πŸ“š Mipasuko hii huweza kuwa iliyochimbika sana au kiasi tu. Wazee ndio hupatwa sana na hii mipasuko ya ulimi , japo yeyote yule anaweza kuwa na ulimi wa hivi. Wanaume ndio huwa zaidi na tatizo hili kuliko wanawake πŸ“€ NINI HUSABABISHA HALI HII ? Hadi sasa , wataalamu hawajui ni nini hupelekea hali hii ya mipasuko kwenye ulimi , japo ina amini kwamba watu wenye undugu (genetics) huweza kuwa na tatizo hili na wengine wasiwe nalo . mfano katika familia , unaweza kuta mzazi ana tatizo hili na watoto pia . Mfano : Kuna tafiti ilifanyika na ikabaini kwamba watu wa South Africa ni 0.6% tu ya watu wote ndio wana tatizo hili la mipasuko kwenye ulimi , lakini Katika Taifa la Israel 30.6% ya watu wot...

SABABU YA MATATIZO YA MACHO KUTOONA VIZURI

Image
  SABABU YA MATATIZO YA MACHO!!..πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ watu wengi sana siki hizi wamejikuta wakipata matiizo mbalimbali ya macho hasa maumivu makali,macho kuwasha,kutokuona vizuri , maumivu ya kichwa au macho kuwa mekundu bila kujua sababu ni upi..  SABABU YA UGONNJWA WA MACHO 🌻🌻🌻🌻 🩺 *LISHE DUNI!!!*  lishe duni hasa yenye upungufu wa madini ya zinc, OMEGA3, vitamini A,C na E, hudhohofisha nguvu misuli ya macho  na hivyo kupata changamoto ya kuona . 🩺 *MWANGA MKALI SANA* !! wengine hujisamea kwenye taa za mwanga mkali hivyo kuumiza macho na kuchisha misuli ya macho na hatimaye macho kuuma au kuwa makavu sana.. 🩺 *MAGONJWA YANAYOHUSIANA NA MACHO* . watu wenye magonjwa kama vile KISUKARI,PRESHA, ALBINO nk hukumbwa na tatizo la macho kwa muda mrefu. 🩺 *MCHAFUKO WA DAMU AU SUMU NYINGI MWILINI* !!. matumizi ya dawa zenye kemikali mara kwa mara, uvutaji wa sigara na mchafuko wa damu husababisha maumivu ya kichwa,kukosa usingizi na matatizo ya kutokuona vizuri.. 🩺 ATHARI ZA KEMIKA...

MAUMIVU WAKATI WA HEDHI NA TIBA

Image
  Nini sababu ya maumivu makali ya hedhi ? 1.kuota kwa tishu (nyamnyama) maeneo mengine tofauti na tumbo la mimba. Kitaalam hali hii inatambulika kama endometriosis. Hali pia inaweza kuwa na dalili zifuatazo:- A.Kutokwa na damu nyingi sana wakati wa hedhi B.Hedhi kuchukuwa siku zaidi ya 7 C.Kutokwa na damu kabla ya siku za hedhi kufika D.Maumivu ya tumbo E.Maumivu wakati wa tendo la ndoa F.Kupata maumivu wakati wa haja kubwa. G.Kuchelewa kupata ujauzito 2.Shida kwenye mfumo wa homoni, hali hii kitaalamu inatambulika kama Polycystic Ovary Syndrome (PCOS). hali hii ni ya kawaida sana takribani kwa kila wanawake 10 mmoja wao huwa na hali hii. Miongoni mwa sababu kuu ni kuwa na homoni za kiume nyingi (androgens) na kutokuwa na siku maalumu za kupata hedhi. Hali hii inaweza kuwa na dalili kama: A.Kutokwa na damu nyingi sana B.Kupata hedhi kwa muda mrefu C.Kuota ndevu ama mwele kuwa nyingi maeneo mbali mbali ya mwili kama ilivyo kwa wanaume D.Kuwa na uzito mwingi na usio rahisi kuupunguz...

UUGONJWA WA BAWASIRI DALILI MADHARA DALILI NA MATIBABU YAKE

Image
  VYANZO  VYA BAWASIRI ✔Kuwa na uzito kupita kiasi ✔kutumia nguvu kupush wakati wa kujifungua ✔kukaa sana juu ya kitu kigumu ✔kufanya ngono kinyume na maumbile ✔kupata choo ngumu ✔kula sana nyama nyekundu ✔pressure ya kupanda ✔kula sana pili pili ✔kula udongo ✔kutumia vyoo vya kukaa ✔kuharisha kupita kiasi ✔kunyanyua vitu vizito MADHARA YA BAWASIRI ✔upungufu wa damu ✔kutokwa na ki nyesi bila kujitambua ✔kukosa hamu ya tendo la ndoa ✔upungufu wa nguvu za kiume ✔kuathirika kisaikolojia ✔kutopata ujauzito ✔mimba kuharibika ✔kupata cancer ya utumbo ✔mwili kudhoofika Pata Suluhisho la tatizo lako sasa.  0684450076

MIPASUKO KATIKA ULIMI

Image
 TATIZO LA MIPASUKO KATIKA ULIMI πŸ“š Ulimi wa mtu kwa kawaida hautakiwi kuwa na mipasuko ya aina yoyote . Sasa hawa watu wenye ulimi uliopasuka huwa hawana maumivu , isipokua tu labda kama kuna chakula kimekwama kwenye hiyo mipasuko ndio muhusika atahisi maumivu πŸ“š Mipasuko hii huweza kuwa iliyochimbika sana au kiasi tu. Wazee ndio hupatwa sana na hii mipasuko ya ulimi , japo yeyote yule anaweza kuwa na ulimi wa hivi. Wanaume ndio huwa zaidi na tatizo hili kuliko wanawake πŸ“€ NINI HUSABABISHA HALI HII ? Hadi sasa , wataalamu hawajui ni nini hupelekea hali hii ya mipasuko kwenye ulimi , japo ina amini kwamba watu wenye undugu (genetics) huweza kuwa na tatizo hili na wengine wasiwe nalo . mfano katika familia , unaweza kuta mzazi ana tatizo hili na watoto pia . Mfano : Kuna tafiti ilifanyika na ikabaini kwamba watu wa South Africa ni 0.6% tu ya watu wote ndio wana tatizo hili la mipasuko kwenye ulimi , lakini Katika Taifa la Israel 30.6% ya watu wote ndio wana hii hali. Sasa unaweza on...

Madhra ya Punyeto Kwa Mwanaume

Image
 MADHARA ya kupiga punyeto Yafuatayo ni madhara ya kupiga punyeto au wengine huita puli(masturbation)  ❤1. punyeto humfanya uume kua lege lege na kuonekana mdogo/kibamia na usio jaza yaani mwembamba kabla ya awali  ❤2. Husababisha mwanamume kutoa mbegu haraka kipindi cha tendo la ndoa na mwanamke na kushindwa kumfikisha mwanamke kileleni.... (Premature ejaculation) anaweza akajikuta akigusa tu nanii ndani ya dakika cha he mheshimiwa anatapika.  ❤3. Ni moja ya chanzo Kikuu cha kupoteza nguvu za kiume, uume kusinyaa na kukosa nguvu kwa sababu ya kuharibu mishipa ya fahamu wakati MTU akijisugua katika kulitafuta bao  ❤4. Hupunguza idadi ya mbegu za kiume (low sperm count) hivyo ni mbaya sana kwa watu wanaotafuta mtoto na huleta infection na kusababisha,manii kuwa nyepesi na unapofanya jimai manii kutoka kwa mkewe badala ya kuingia ukeni na huweza kuwa sababu ya kutopata mtoto  ❤5. Husababisha mtu kusahau sahau sana na kushindwa kufanya vitu kwa makini zaidi ...

𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗨 π—­π—œπ—‘π—”π—­π—’ 𝗙𝗔𝗑𝗬𝗔 𝗠π—ͺπ—”π—‘π—”π—¨π— π—˜ π—”π—¦π—›π—œπ—‘π——π—ͺπ—˜ π—¦π—œπ— π—”π— π—œπ—¦π—›π—” π—©π—œπ—­π—¨π—₯π—œ π—¨π—¨π— π—˜

Image
 π—¦π—”𝗕𝗔𝗕𝗨 π—­π—œπ—‘π—”π—­π—’ 𝗙𝗔𝗑𝗬𝗔 𝗠π—ͺπ—”π—‘π—”π—¨π— π—˜ π—”π—¦π—›π—œπ—‘π——π—ͺπ—˜ π—¦π—œπ— π—”π— π—œπ—¦π—›π—” π—©π—œπ—­π—¨π—₯π—œ π—¨π—¨π— π—˜ π—ͺπ—”π—žπ—˜ 𝗑𝗔 π—žπ—¨π—ͺ𝗔 π—Ÿπ—˜π—šπ—˜ π—Ÿπ—˜π—šπ—˜ 𝗑𝗔 π—žπ—¨π—¦π—›π—œπ—‘π——π—ͺ𝗔 π—₯π—¨π——π—œπ—” π—§π—˜π—‘π——π—’ 𝗑𝗔 𝗨𝗦𝗛𝗔𝗨π—₯π—œ π—§π—œπ—•π—”. Hisia za tendo la ndoa kwa mwanaume ni mchakato tatanishi unaohusisha ubongo, homoni, hisia, mishipa ya fahamu, misuli na mishipa ya damu. Hali ya uume kushindwa kudindisha inaweza kutokana na matatizo yanayokuwa katika sehemu hizo nilizozitaja.      Vile vile, msongo wa mawazo na magonjwa ya akili yanaweza kusababisha hali ya uume kushindwa kudinda au kusimama  Wakati mwingine mchanganyiko wa matatizo ya mwili na akili husababisha uume kuishiwa nguvu. Kwa mfano, hali ndogo ya mwili ambayo inayopunguza hamu ya tendo la ndoa inaweza kusababisha mashaka juu ya kurekebisha afya ya uume wako kuweza kudindisha. °°Matatizo Ya Mwili Yanayosababisha Uume Kushindwa Kudindisha: Katika visa vingi mbalimbali, kupungukiwa nguvu za kiume husababishwa...

SABABU ZA KIDOLE TUMBO NA MATIBABU BILA UPASUAJI

Image
 Posti hii inazungumzia kuhusiana na ugonjwa wa Kidole ambao kitaalamu hujulikana Kama Appendicitis. Kidole tumbo husababisha maumivu kwenye tumbo la chini la kulia.  Hata hivyo, kwa watu wengi, maumivu huanza karibu na kitovu na kisha kusonga. Kadiri uvimbe unavyozidi kuwa mbaya, maumivu ya appendicitis huongezeka na hatimaye huwa makali. Nini kinasababisha ugonjwa wa kidole tumbo? kidole tumbo husababishwa na vitu vifuatavyo. minyoo kuingia ndani ya kidole tumbo vitu vya nje ya mwili kama mchanga. kinyesi kujaa na kuingia hapo kuvimba kwa tezi za tumboni. DALILI πŸ‘‡πŸΌ  Ishara na dalili za kidole tumbo(appendicitis)  1.Maumivu ya ghafla ambayo huanza upande wa kulia wa tumbo la chini 2. Maumivu ya ghafla ambayo huanza karibu na kitovu chako na mara nyingi huhamia kwenye tumbo lako la chini la kulia 3. Maumivu ambayo huongezeka ikiwa unakohoa, kutembea au kufanya harakati zingine za kusumbua  4.Kichefuchefu na kutapika  5.Kupoteza hamu ya kula  6.Homa y...

SABABU ZA MWANAUME KUSHINDWA MPA UJAUZITO MWANAMKE

Image
 ```NGUVU YA MEN'S KIT PACKAGE KWENYE MFUMO WA UZAZI WA MWANAUMEπŸ’ͺπŸΏπŸ‘‡``` Mwanaume, aibu za kuwahi kufika kileleni zinaepukika Kushindwa tungisha ujauzito zinaepukika. Anza Tiba Leo. ZIJUE FAIDA ZAKE ITAKUSAIDIA; ➡️Kuondoa tatizo la Kuwahi kufika kileleni ➡️Kuongeza uzalishaji wa mbegu za kiume ivyo kusaidia kutungisha ujauzito kwa halaka ➡️Kuondoa tatizo la Homon Imbalance ➡️Kuzuia maumivu ya korodani na Korodani kupanda juu ➡️Kuimarisha na Kuongeza nguvu katika mirija ya uume ➡️Kuupa Msuli wa Pelvic nguvu ➡️Kuepusha uume Kusinyaa katikati ya tendo la ndoa ➡️Kuzalisha mbegu Zenye ubora na kuzuia Ugumba/Utasa kwa mwanaume ➡️Kusafisha kibofu Cha Mkojo ➡️Kuzuia na kutibu maambukizi kwenye Uzazi, maumivu ya mgongo na tumbo kwa mwanaume ➡️Kuzuia Korodani kuvimba au kusinyaa *USIHANGAIKE TENA MWANAUMEπŸ’ͺπŸΏπŸ’―* *#WASILIANA NASI. PIGA/WHATSAPP;  +255684450076 . Bei. Tsh150000