MIPASUKO/MICHANIKO KWENYE ULIMI NA TIBA YAKE
.jpeg)
TATIZO LA MIPASUKO KATIKA ULIMI ๐ Ulimi wa mtu kwa mipasuko tiba piga 0684450076 kawaida hautakiwi kuwa na mipasuko ya aina yoyote . Sasa hawa watu wenye ulimi uliopasuka huwa hawana maumivu , isipokua tu labda kama kuna chakula kimekwama kwenye hiyo mipasuko ndio muhusika atahisi maumivu ๐ Mipasuko hii huweza kuwa iliyochimbika sana au kiasi tu. Wazee ndio hupatwa sana na hii mipasuko ya ulimi , japo yeyote yule anaweza kuwa na ulimi wa hivi. Wanaume ndio huwa zaidi na tatizo hili kuliko wanawake ๐ค NINI HUSABABISHA HALI HII ? Hadi sasa , wataalamu hawajui ni nini hupelekea hali hii ya mipasuko kwenye ulimi , japo ina amini kwamba watu wenye undugu (genetics) huweza kuwa na tatizo hili na wengine wasiwe nalo . mfano katika familia , unaweza kuta mzazi ana tatizo hili na watoto pia . Mfano : Kuna tafiti ilifanyika na ikabaini kwamba watu wa South Africa ni 0.6% tu ya watu wote ndio wana tatizo hili la mipasuko kwenye ulimi , lakini Katika Taifa la Israel 30.6% ya watu wot...